Melo amesema ataanza kuwalipa Kila muanzisha Uzi kuanzia Mwaka 2050KWa siku unaanzisha nyuzi ngapi?
Wanawake wakiwa wanapeana ushauri kusuhusu mahusiano, wanaambiana kuwa.
"Shosti wewe date na Hao wanaume wote, halafu angalia yupi anajali zaidi na ana hela kuliko wenzie halafu ndio akuoe".
NB: WANAUME TUWE MAKINI AISEE!
2050 mbona mbaliMelo amesema ataanza kuwalipa Kila muanzisha Uzi kuanzia Mwaka 2050
Kwahiyo jamaa ndiyo ana - practice π
Vumilieni Vijana π2050 mbona mbali