Ukweli Mchungu: Mugalu + Bocco + Kagere = Mayele

Ukweli Mchungu: Mugalu + Bocco + Kagere = Mayele

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Ukiangalia kitaalamu na ukadadavua tactically utagundua kuwa washambulizi watatu wote wa Simba ni sawa na Mayele mmoja wa Yanga SC.

Hata ujio wa Chama hautoweza kufua dafu kwa hawa wazee waliozeeka Maini.

Na pia kama Ukilazimisha akili yako iamini kuwa Pablo atamfanya Chama kuwa mhimili wa kiungo cha Simba utapata shida sana na utakuja kuwa dissapointed.
 
Chama wamtafutie striker kwa wale 3=Mayele watamfanya na hapa afeli kama alivyofeli kule
 
Back
Top Bottom