Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mpaka jana usiku nilikuwa siamini kama Rais amewapa Taifa stars millioni 50 tshillings kama motisha ili waifunge Lesotho, mawazo yangu yote Rais alikuwa ametowa dollar million 50 ili stars ikate tiketi kwenda Afcon kumbe najidanganya mwenyewe ni pesa ambayo Diamond anatumia kuwakatia bima ya afya mama ntilie.
Jamani tuwe serious kidogo, kama meya wa Iringa amekataa hongo ya millioni 200 naamini ni ndogo je iweje kundi la wanaume Taifa stars uwape milioni 50 na mikwala juu?
Hapa ni kwamba Rais alibet na mkeka umechanika.
Tujiulize kwanza Mbwana Samatta kwa wiki au mwezi mshahara wake ni sawa na shilling ngapi?
Washauri wa Rais kwa hili mmeshindwa kutimiza wajibu wenu, mngejifynza hata kwa William Rutto amewapa nini Harambee stars.
Tukubari tu sisi kipaumbele chetu ni siasa uchwara ndio uwekezaji wetu upo huko na pesa zinapelekwa huko.
Rais amebet na mkeka umechanika that's it.