Ukweli mchungu ni kwamba kipaumbele chetu ni siasa uchwara na siyo michezo kwa ujumla

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Mpaka jana usiku nilikuwa siamini kama Rais amewapa Taifa stars millioni 50 tshillings kama motisha ili waifunge Lesotho, mawazo yangu yote Rais alikuwa ametowa dollar million 50 ili stars ikate tiketi kwenda Afcon kumbe najidanganya mwenyewe ni pesa ambayo Diamond anatumia kuwakatia bima ya afya mama ntilie.

Jamani tuwe serious kidogo, kama meya wa Iringa amekataa hongo ya millioni 200 naamini ni ndogo je iweje kundi la wanaume Taifa stars uwape milioni 50 na mikwala juu?

Hapa ni kwamba Rais alibet na mkeka umechanika.

Tujiulize kwanza Mbwana Samatta kwa wiki au mwezi mshahara wake ni sawa na shilling ngapi?

Washauri wa Rais kwa hili mmeshindwa kutimiza wajibu wenu, mngejifynza hata kwa William Rutto amewapa nini Harambee stars.

Tukubari tu sisi kipaumbele chetu ni siasa uchwara ndio uwekezaji wetu upo huko na pesa zinapelekwa huko.

Rais amebet na mkeka umechanika that's it.
 
Mzee ambaye ni mkoloni hata mkewe akimuachia kodi ya meza akirudi jioni anamuuliza yaani hela yote ile ndo umepika mboga gani hii hebu njoo nifanyie upembuzi yakinifu wa ile hela na risiti za manunuzi..

Wanachoweza wao ni "SIASA ZA MAJI TAKA" tu!
 
ni kweli tumejikita kwenye siasa za ovyo ovyi..hv hayo mapesa wanayonunua madiwan na wabunge hiv wameshindwa kufumba macho jaman wakatuletea uhakika wa.maji? hv hawaoni hata aibu jaman... yaan mijini maji hamna full shida..maji tunauziwa 400 kwa ndoo lakini yenyew yamekalia kufanya ujinga ujinga tu..hivi tumelogwa na mtume gan jaman?.. mbafu sana hawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…