Ukweli mchungu: Perfume ya Diamond (Chibu) haina quality

Ukweli mchungu: Perfume ya Diamond (Chibu) haina quality

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
572
Reaction score
1,055
Nimeinunua na nimeitumia, namshauri aifanyie marekebisho vinginevyo haitadumu sokoni. Ni hayo tu hata kwa wale mliopanga kuinunua muelewe hivo
‪+255 756 997 052‬ 20170429_082534.jpg
 
Nikainunue kwanza!!
Hahaha Watu Marekani walisha inunua
mimi Hapa Bongo niwe Bado!!
Punguza Chuki zakijinga
Aliye pewa kapewa tu
Hata kama ingenunuliwa mbinguni, kinachozungumziwa hapa haina ubora wowote na hata walionunua no kwa sababu ndio kwana ilikuwa inaingia sokoni na kwa namna ilivyonadiwa watu walijua kweli INA kiwango kumbe Hanna kitu. Nakuhakikishia haitudumu sokoni
 
Swala la ubora ni mtizamo wa mtu na hamuwezi kufanana na ndio maana usichokipenda ww, usikitie hila, unaweza ukasema haina ubora lkn wengine wakaiona ina ubora. Mimi si sijaitumia (na si mtumiaji wa perfume kutoka na kazi yangu, kila saa mijasho sometime perfume naiona haina maana), ila Kuna die hard fan wa WCB, ambaye ni jamaa yangu ananiambia ipo vizuri na harufu yake kwangu mimi inasmell vizuri.
 
Back
Top Bottom