Ukweli mchungu: Perfume ya Diamond (Chibu) haina quality

Hatakama! baada ya kusifia kuwa tumepata kijana mdogo ambaye kajituma hukiwa hapahapa jf unapika (m....gu) badilika potezea uafrica wakishamba.
 
Nibozali watu kama nyinyi wenye roho mbaya na choyo wala hatuwashangai utabak ivo ivo ndugu mwenzio anaendelea na pafyum inauzwa had marekani na ney kanunua we kaaa ivo ivo ushazoea mafuta ya nazi mwehu ww roho mbaya husda zmekujaaa
 
Ney kuinunua hakuifanyi kuwa na kiwango ndugu kwani haifanyii marekebisho yoyote, itabaki kuwa km ilivyo
 
Mleta mada hujawahi kwenda bar ....ukakuta huyu anakunywa castle light ...yule anakunywa kilimanjaro hao wanakunywa soda.....ama umeshawahi jiuliza yule kaoa mwanamke mweusi huyu kaoa mweupe ...mwingine kaoa mwanamkeb mfupi....ungejiuliza haya maswali usingeleta hii mada....usidhani kila mtu ana pua kama yako
 
Ney kuinunua hakuifanyi kuwa na kiwango ndugu kwani haifanyii marekebisho yoyote, itabaki kuwa km ilivyo
Ndugu kaa na choyo zako wenzio wanapiga hatua n bora uanze kuuza togwa kujikomboa cku zote kuku wameumbwa kukatsha tamaa watu we bak na ukuku wako diamond ni eagle endelea kuparua jalalani ndo hadh yko[emoji12] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…