Ukweli mchungu: Perfume ya Diamond (Chibu) haina quality

Nibozali watu kama nyinyi wenye roho mbaya na choyo wala hatuwashangai utabak ivo ivo ndugu mwenzio anaendelea na pafyum inauzwa had marekani na ney kanunua we kaaa ivo ivo ushazoea mafuta ya nazi mwehu ww roho mbaya husda zmekujaaa
Hpa ulposema na ney kanunua umemaanisha nn mkuu,uyo ney n mdau mkubwa wa perfume au"
No ofense'
 
Nimeinunua na nimeitumia, namshauri aifanyie marekebisho vinginevyo haitadumu sokoni. Ni hayo tu hata kwa wale mliopanga kuinunua muelewe hivoView attachment 502448
Aifanyie marekebisho kwenye nin mkuu..?
Quality yake huwez kuidadavua kidogo na sisiwa Mpitimbi tujue..?
Na ulivoenda kununua ulikuwa n akili zako mwenyewe au kichwani kulikuwa na akili za Kiba..?
 
Sasa irekebishwe ili imfae nani? wewe?

Nadhani ndio maana kuna aina lukuki za bidhaa sokoni kwani kila mmoja anapendezwa na hiki au kingine....na sio rahisi watu woooote mkapendezwa na kilekile.
 
Kwani pafyumu inasaidia nini mwilini?
Inatibu ugonjwa gani haswaa?
 
Nimeinunua na nimeitumia, namshauri aifanyie marekebisho vinginevyo haitadumu sokoni. Ni hayo tu hata kwa wale mliopanga kuinunua muelewe hivoView attachment 502448

Mkuu napenda sana ID yako kwani nikiigeuza tu kutoka nyuma kuja mbele napata ID ya Mtu mmoja ' maarufu ' mno humu JF. Hongera kwa ' ubunifu ' uliotukuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…