Ukweli mchungu: Perfume ya Diamond (Chibu) haina quality

Suala hapa siyo bei, tunazungumzia ubora Wa bidhaa yenyewe

Ukiwaambia ukweli utaambiwa hater hivi kweli niache perfume ya CD au ya majina makubwa nikanunue hiyo yaani ungefwata ushauri wa jamaa humu jamii forum bora ungeanzisha juice ungeuzaa sana hata watoto wangenunua kwa wingi na ungepata faida angalia bakhresa ombeni ushauri kwa wasomi wa biashara
 
Imebidi nicheke tu
 
Unaposema mbaya inabidi tujue ni
Performance, projection, longevity,sillage, ama ni nn tatizo?
 
Kama haina quality endelea kutumia vitu vya ulaya,usitukatishe tamaa ambao bado hautuja nunua.
 
Tuache ushamba hivi hiyo guality inapimwaje.unajua mana ya quality?kiswahili ni ubora je ni chombo gani kinasibitisha ubora Wa vitu kama hujui ni TBS kwa upante tz.je TBS wamesibitsha au hapana?et we mleta mada(usuuuuzi)
 
Sasa kama biashara ya Juicy inalipa kwanini usiifanye wewe, au wewe hutaki hela ?
 
Eti wamerekani wamenunua Hahahahahahaha anafikiri ubora wa bidhaa hupimwa hivyo? Kwa taarifa yako wamerekani wengi wakienda chooni hawabebi maji nawe iga sasa uone balaa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…