Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Siku kama ya Leo wiki ijayo ndipo kutakapokua vilio na kusaga meno katika dimba la Mkapa kwani Kolozidad atapigwa na kitu kizito.
Baada ya hapo ataenda tena Cairo kufanyiwa mambo mabaya sana na waarabu.
Utabiri utakua hivi game ya nyumbani Simba atapigwa 3 na Kule Cairo atapigwa Bao 4 Kwa sufuri hivo atatoka na jumla ya Goli sabaa Kwa NUNGE.
Na akileta ujinga atapigwa tena 5 a.k.a kono la nyani kwani ameshazoea.