Ukweli mchungu: Simba wanafungwa mechi zote zilizobaki, kwenye kundi wanakuwa wa mwisho

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Kwa tofauti kubwa ya kiwango walichoonyesha dhidi ya AS vita na kisha Al Ahly, hawataweza kuwafunga hata hapa nyumbani, watachezea japo sio goli nyingi kama za ugeninu wakijitahidi

Wakienda Algeria watachezea pia, wale Waarabu wamejikusanya vizuri na kutoa draw na AS Vita kwao, na wana chance ya kusonga mbele kuliko hata Simba

Wakiwa Algeria kufa na kupona lazima wataifunga tu Simba
 
Mechi na Al Ahyl, Simba wanaweza wakashinda au wakapata sare hawatofungwa pale kwa mchina. Kule Algeria nako kuna harufu ya khamsa nyingine. Mechi ya mwisho dhidi ya Vital kwa mchina. Simba akijitahidi saana anaambulia sare tu zaidi ya hapo ni kufungwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchambuzi ungechambua toka mwanzo..mbona umeanzia hapa?... au unatabiri?
 
Pumba tupu umeandika sizani hata kama umewahi kucheza sembo (mpira wa makaratasi/Rambo).
.
Al ahly hawezi kushinda Taifa hata kwa dawa ila ni lazima afuzu kwa kuzingatia keshaokota point moja Algeria ana uhakika wa 10Pts.
.
Simba tunapata Tisa zote lakini je tukienda Algeria tutafanywaje? Hili swali majibu yake hayapo kwa sasa
 
Mimi nadhani unaongea bila kujua jografia ya timu za africa vizuri. Kwenye mashindano haya timu iliyofanya vizuri kwenye uwanja wa nyumbani inanafasi kubwa yakutinga hatua inayofuata.

hivyo basi simba bado ina mechi 3 mbili nyumbani na 1 ugenini. Tusiwakatishe tamaa kabla hatujaona matokeo ya mechi 2 za nyumbani.

wana nafasi kubwatu hasa kutokana na matokeo ya ac vita jana kutoka sare nyumbani. Cha msingi viongozi wawe wakali kwa wachezaji ili kujenga nidhamu kwa kila mchezaji awapo uwanjani ajue majukum yake kwa timu.
 

simba anaweza akamfunga al ahly taifa.... ila hawezi kumfunga as vita.. wacongo wanatufungaga miaka yote popote pale. miili ya wachezaji wao migumu sana...

balaa kubwa lipo kule algeria soura atavyokuwa analipa kisasi... simba kule ndio wapawaze sana.. maana mziki utakuwa mnene sana na sana wa kisasi
 
Vita sio Mazembe tambua hilo, na kuhusu kuwa na miili migumu au milaini haitegemei eneo ni mazoezi tu.
.
Wachezaji wetu wako kama Reuben wa Bayern munich wanapenda wanawake sana, kwanini watu walio makini na biashara hii wasikufunge?
 
simba hawana uwezo hata wa kutoa sare na al ahly. al ahly bado hajafuzu mechi pekee rahisi kwao kupata point ni dhidi ya simba kinshasa atapigwa na soura wana moto sana sasa ivi
 
Sjui 5imba inaelekea wapi

[emoji375][emoji375]
 
Simba hawezi kumfunga Al Ahly Taifa...wamezidiwa kila kitu..kwa mara ya kwanza timu ya Tanzania inabebwa ugenini...juuko ilikuwa penalty na second yellow card out Msenegal akafunika kombe mwanaharamu spite.
 
Hata hivyo Wale waarabu hawakututendea haki mashabiki zao kipindi cha pili!
Ilitakiwa minimum iwe 8+
 
Hawezi kushinda taifa hata kwa dawa?
Yaani wewe ndio mtema pumba sijui wa wapi. Ungesema hata simba ana uwezo mkubwa wa kumfunga Al Ahly hapa ningekuona hata una akili kuliko ku rule out eti Ahly hawezi kushinda. Timu kubwa kama real Madrid zinafungwa nyumbani kwao na vitimu vidogo kwenye UEFA sembuse Simba ambaye ndio underdog kwa Ahly?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…