Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Najua tunapenda sana kudanganyana lakini leo inanibidi niseme tu ukweli nafasi ya Stars kufuzu kwenda Morocco AFCON hapo mwakani ni finyu kwa kifupi haipo maana game zilizobaki yenye nafuu kwetu ni Ile ya Ethiopia ugenini.
Lakini hao wahabeshi walitutoa kamasi hapa nyumbani.
Msimamo ulivo
D.R Congo pts 9
Tanzania pts 4
Guinea pts 3
Ethiopia pts 1
Fixture ijayo Tanzania vs DRC na Guinea vs Ethiopia.
Kama Guinea atashinda kwake dhidi ya Ethiopia basi atakua na points 6.. wakati sisi tutakua na point 4 kama tukipoteza, na points 5 kama tutaambulia sare.
Kumbuka DR Congo anahitaji sare tu Ili kujihakikishia kufuzu kimahesabu japo kiuhalisia ni kama ameshafuzu hivo game bado itakua ngumu sana.
Mechi kati ya DR Congo na Guinea.. wakongo watakua hawana tena cha kupoteza zaidi ya kukamilisha tu ratiba, Ina maana Guinea atakua kwenye nafasi nzuri ya kupata ushindi.
Na kama akishinda ndo basi tena.