PreGE2025 Ukweli mchungu: Tusahau maendeleo ya kweli wakiendelea kutuongoza CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukitafakari kwa makini, utagundua kuwa tatizo actually sio watawala wabovu bali ni sisi wananchi ambao tumekubali kutawaliwa na watu wasiofaa. Obviously, tumeshindwa kutumia vizuri mtaji wetu wa nguvu ya umma!
Upo sahihi pia. Kuna haja ya elites kushawishi Jeshi kupindua Serikali iliyopo madarakani ili tufanye overhaul ya huu upuuzi wa CCM.
 
Wananchi tufanye kweli kuwakataa hawa wajinga na ikiwezekana Jeshi lituunge mkono.

CCM ni mashetani kabisa
Hivi kweli JWTZ linalosa kabisa vijana wazalendo aina ya Captain Ibrahim Traore wa Burkina Faso?
 
Wanasiasa ni walewale kama ndugu wanaofanana vinasaba, hata chama kipya kitakuja, ni same people repackaged in different format, so bora zimwi likujualo na ulijuao.....
 
Hakika tusipoamka katika usingizi wa pono tuliomo, CCM watendelea kutawala, maliza umma kuendelea kufujwa, propaganda na uchawa Kwa kwenda mbele halafu maendeleo yatabaki kuwa za alinacha.
 
Wanasiasa ni walewale kama ndugu wanaofanana vinasaba, hata chama kipya kitakuja, ni same people repackaged in different format, so bora zimwi likujualo na ulijuao.....
Hapana huu ni uongo inaoenezwa na CCM ili kuhalalisha ujinga na ufedhuli wao.

Ukweli ni kwamba hawafanani.
 
Hapana huu ni uongo inaoenezwa na CCM ili kuhalalisha ujinga na ufedhuli wao.

Ukweli ni kwamba hawafanani.
Bahati mbaya ni kuwa kwa sababu ni walewale, wataedelea kufanya kolabo na wimbo wa "CCM hupelekwa mbele" utasubiri sana anguko la CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…