Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Nimetoka kumsoma mdau mmoja maarufu akihoji juu ya undumilakuwili wa Chadema katika misimamo. Anahoji kuwa Chadema wanahamasisha watanzania tugomee tozo za miamala ya simu kwa kutofanya miamala, may be tutumie njia mbadala. Hili ni wazo zuri kama mgomo. Lakini kiutekelezaji kwa wao ni kinyume chake.
"Pamoja na kutokuwa na akili kwetu na mawazo ya kijinga, huu ni upumbavu uliopitiliza :
->Unaaminisha watu na kuhamasisha wagomee miamala kwa sababu ya tozo
->Halafu unaomba michango ya kufungua kesi itumwe kwenye MPESA kwenye tozo tena kwa namba binafsi.
SISI SIYO WAJINGA HIVYO "
Ilishawahi kuhojiwa hapa pia je msimamo wa kuendelea kufanya Kongamano za katiba nchi nzima alioutangaza Mbowe hata kama watakamatwa na wakamtwe mpaka Mahabusu zijae ulikuwa ni wa chama au wa Mbowe. Kama ni wa Chama mbona baada ya Mbowe kukamatwa tena kwa kesi isiyohusu makusanyiko hayo, na wao wameamua kuachana nayo hayo makongamano?
Hofu yao ni nini wakati wanaona hakuna kesi inayohusu mikusanyiko hiyo inayoweza kupelekwa mahakamani na tanpol wakashinda. Hii ni alama tosha ya UNDUMILAKUWILI wa CHADEMA katika maamuzi yake magumu, wao wanatoa tu matamko kuendana na Move, wakati wa utekelezaji ni Sifuri. Hili ni Tangu enzi za UKUTA mpaka leo hii.