Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Tunaongozwa kuwa takataka dunianiHabari waumini wa jf.
Uzi huu hauna maudhui ya uchechezi naomba nieleweke.
Kila serikali inapopitisha sheria mpya ambazo zinagusa maisha ya Watanzania moja kwa moja wananchi wa Tanzania huiunga mkono serikali yao.
Iwe sheria mpya ya kodi ambayo inawaminya mbavu, wananchi wataiunga mkono, iwe sheria ya umiliki wa ardhi, sheria ya uchaguzi n.k wanachi tunakuwa upande wa serikali.
Naweza kusema kuwa Watanzania tunaiongoza dunia kwa utii.
Mbona anaupiga mwingi tu...Kwan wew unaonaje kiwango cha hizi tozo!!!! Si km Ronaldo na Mess eeh[emoji1787][emoji1787]Sisi SUKUMA GANG ndo tumegeuka wapinzani Sasa wa kukosoa serikali.
CHADEMA,WANAHARAKATI NA WAPINZANI
wanasema mama ana upiga mwingi