Ukweli mchungu, Zari ndie kamuoa Diamond...

kama vipi na wewe tafuta wa kwako ujishikize. acha wivu
 
Eti ``hakili``
Hata kuhandika hujuhi kajifunze kuhandika ndiho huje na humbeha wako
Wewe mwenyewe hujui kuandika vizuri kiswahili, sio "kuhandika" ni "kuandika", sio "hujuhi" ni "hujui", sio "ndiho", ni "ndio" na sio "huje" na wala sio "humbeha" ni "umbea".
 
ungekuwa mtoto ningesha kuchapa kwa kukosa adabu
 
Mi nitaka nikuoe ufaidi,,,Nina mpunga wa kutosha kuliko Ivan na utafaid kuliko Zari Kwa Dom,,,
 
Wewe mwenyewe hujui kuandika vizuri kiswahili, sio "kuhandika" ni "kuandika", sio "hujuhi" ni "hujui", sio "ndiho", ni "ndio" na sio "huje" na wala sio "humbeha" ni "umbea".
nawe umekurupuka kumjibu huyu commentator,yani hujaelewa kbs kwann na yeye kaamua kuandika kwa mtindo huo!fatilia comments vzr than connect dots.
 
Wewe mwenyewe hujui kuandika vizuri kiswahili, sio "kuhandika" ni "kuandika", sio "hujuhi" ni "hujui", sio "ndiho", ni "ndio" na sio "huje" na wala sio "humbeha" ni "umbea".
Teh teh umekurupuka mkuu pole sana hahahaaaa
 
Unaitwa kusign course work! Wenzio washaenda.

Hahahahahahahaa unafkiri Mimi mwanachuo kama wewe

Endelea kukremisha na kusifia wanaume wenzako utapata matokeo muda si mrefu
 
Alaa! kumbe mondi ni mshika pembe tu! nilikuwa sijui!
 
Hahahahahahahaa unafkiri Mimi mwanachuo kama wewe

Endelea kukremisha na kusifia wanaume wenzako utapata matokeo muda si mrefu
Mtu mwenye familia Yake Na civilized hawezi Kua Na mdomo mchafu kiasi hicho! Au malezi pia yanachangia sana kumshape Na kumfanya mtu awe Kama alivyo Ktk Jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…