Rais wa zamani wa Marekani Mh Barack Obama amesema watu wanaomzunguuka walikua wanamwambia ukweli anapokosea na pia kuhoji uhalali wa maoni yake anapokosea wala sio kumsifia kwa kila jambo,ni hatari watu unaowaamini wasipokwambia ukweli"

Nyerere aliwahi kusema, mtu akikupa ushauri (wa kijinga), akijua dhahiri anakushauri ujinga, na wewe ukaufuata, atakudharau! Nafikiri enzi hizo alikuwa akirusha kijembe kwa aliyemfuatia nafasi ya uraia. Sasa wanaiamini katika uchawa, kazi kwao!