Ukweli mtupu: Uwanja wa ndege Chato utakuwa ni kiunganishi kikubwa kwa eneo la kanda ya Ziwa Magharibi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Runway yake yake M 3000 inaipa uwezo mkubwa wa kuwezesha madege makubwa kama Airbus a320 na nyinginezo nyingi.

Ile dhana kuwa huu uwanja utabakia kuwa kiwanja cha kuaniakia udaga ni uongo mtupu. Ni uongo mtupu nasisitiza.

Ndio maana utaendelea kuwa kiunganishi hasa viongozi wakubwa wakitembelea Kanda ya Ziwa Magharibi.

👇
Screenshot_20220607-172353.jpg
 
Kuna wanaofunga na kusali ili kweli uwanja wafugie kuku. Lakini muda ni mwalim mzuri. Ngoja tuone yanayojiri.
 
Ukizingatia kwamba mji wa Bukoba hauna eneo zuri kijiografia kuweza kujenga runway kubwa ya Ndege.

Ukizingatia Chato ni katikati ya mikoa mikubwa ya Geita na Kagera.

Ukizingatia kuwa Chato iko katikati ya eneo kubwa la fursa za uwekezaji ikiwemo migodi mikubwa kama GGM na Kabanga Nickel.

Pia Chato iko karibu na hifadhi za Rubondo na Chato Burigi pamoja na miji mingine kama Muleba,Ngara na hata Bukoba.

Kumbuka kuwa Chato iko katikati ya nchi za maziwa makuu kijiografia kuliko hata Mwanza.

Wengi ya wanaoukashifu uwanja huo nina uhakika hata hawana uelewa wa kijiografia kuhusu location ya Chato.

Zaidi ya kukariri kwamba ni kijijini nyumbani kwa Magufuli.
 
Upuuzi mtupu.

Kwa hiyo hata uwanja wa Dar ufutwe kwa sababu siyo katikati? Nitajie nchi hata moja ambayo viwanja vikubwa vya ndege vya kimataifa vipo porini kwa sababu tu hapo porini ni katikati ya miji fulani.
 
Runway yake yake M 3000 inaipa uwezo mkubwa wa kuwezesha madege makubwa kama Airbus a320 na nyinginezo nyingi.

Ile dhana kuwa huu uwanja utabakia kuwa kiwanja cha kuaniakia udaga ni uongo mtupu. Ni uongo mtupu nasisitiza.

Ndio maana utaendelea kuwa kiunganishi hasa viongozi wakubwa wakitembelea kanda ya ziwa magharibi.
👇View attachment 2253350
Wanaanikia dagaa za muganza
 
Chawiii
 
Runway yake yake M 3000 inaipa uwezo mkubwa wa kuwezesha madege makubwa kama Airbus a320 na nyinginezo nyingi.

Ile dhana kuwa huu uwanja utabakia kuwa kiwanja cha kuaniakia udaga ni uongo mtupu. Ni uongo mtupu nasisitiza.

Ndio maana utaendelea kuwa kiunganishi hasa viongozi wakubwa wakitembelea Kanda ya Ziwa Magharibi.

Hahahaa
 
Back
Top Bottom