Upuuzi mtupu.Ukizingatia kwamba mji wa Bukoba hauna eneo zuri kijiografia kuweza kujenga runway kubwa ya Ndege.
Ukizingatia Chato ni katikati ya mikoa mikubwa ya Geita na Kagera.
Ukizingatia kuwa Chato iko katikati ya eneo kubwa la fursa za uwekezaji ikiwemo migodi mikubwa kama GGM na Kabanga Nickel.
Pia Chato iko karibu na hifadhi za Rubondo na Chato Burigi pamoja na miji mingine kama Muleba,Ngara na hata Bukoba.
Kumbuka kuwa Chato iko katikati ya nchi za maziwa makuu kijiografia kuliko hata Mwanza.
Wengi ya wanaoukashifu uwanja huo nina uhakika hata hawana uelewa wa kijiografia kuhusu location ya Chato.
Zaidi ya kukariri kwamba ni kijijini nyumbani kwa Magufuli.
Wanaanikia dagaa za muganzaRunway yake yake M 3000 inaipa uwezo mkubwa wa kuwezesha madege makubwa kama Airbus a320 na nyinginezo nyingi.
Ile dhana kuwa huu uwanja utabakia kuwa kiwanja cha kuaniakia udaga ni uongo mtupu. Ni uongo mtupu nasisitiza.
Ndio maana utaendelea kuwa kiunganishi hasa viongozi wakubwa wakitembelea kanda ya ziwa magharibi.
πView attachment 2253350
ChawiiiRunway yake yake M 3000 inaipa uwezo mkubwa wa kuwezesha madege makubwa kama Airbus a320 na nyinginezo nyingi.
Ile dhana kuwa huu uwanja utabakia kuwa kiwanja cha kuaniakia udaga ni uongo mtupu. Ni uongo mtupu nasisitiza.
Ndio maana utaendelea kuwa kiunganishi hasa viongozi wakubwa wakitembelea kanda ya ziwa magharibi.
πView attachment 2253350
Na mnatakiwa hata sasa muishe ni swala la muda tu kwa nyie mchwa.Bora mtu yule alipumzishwa tungekwisha
Mamlaka ya viwanja vya ndege mbona kama inazembea hata kusafisha viti.
HahahaaRunway yake yake M 3000 inaipa uwezo mkubwa wa kuwezesha madege makubwa kama Airbus a320 na nyinginezo nyingi.
Ile dhana kuwa huu uwanja utabakia kuwa kiwanja cha kuaniakia udaga ni uongo mtupu. Ni uongo mtupu nasisitiza.
Ndio maana utaendelea kuwa kiunganishi hasa viongozi wakubwa wakitembelea Kanda ya Ziwa Magharibi.