Ukweli mtupu

Ukweli mtupu

structuralist

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,230
Reaction score
907
Ninafuatilia kongamano la mwl nyere: Jukumu la vijana katika kumuenzi mwl Nyerere na nimefurahiswa na mchangiaji mmoja ( bwakisa) ambae amewapa live maprofesa na madocta wa tz kuwa hawaandiki vitabu. Nikimnukuu amesema ' maprofesa na madocta hamuandiki, dr rwaitama huandiki, dr mkumbo huandiki prof mkandara huandiki mnalalamika kuhusu vitabu vya nyambari na msabila lakini mm ni zao la nyambari na msabila...." nn mtizamo wako kwenye hili hasa juu ya maprofesa na ma dr kuandika?
 
Waliupata huo u-prof na u-dr kupitia copy and paste sasa waandike nini? Debe tupu haliachi ku......
 
Maprofesa wengi wa tanzania wana kaz ya kufuga nywele2 na kusoma vitabu ving vya hstoria ya nje ktu ambacho knawafanya washndwe kuandka mambo ya nchi yao
 
Back
Top Bottom