Ninafuatilia kongamano la mwl nyere: Jukumu la vijana katika kumuenzi mwl Nyerere na nimefurahiswa na mchangiaji mmoja ( bwakisa) ambae amewapa live maprofesa na madocta wa tz kuwa hawaandiki vitabu. Nikimnukuu amesema ' maprofesa na madocta hamuandiki, dr rwaitama huandiki, dr mkumbo huandiki prof mkandara huandiki mnalalamika kuhusu vitabu vya nyambari na msabila lakini mm ni zao la nyambari na msabila...." nn mtizamo wako kwenye hili hasa juu ya maprofesa na ma dr kuandika?