Ukweli mtupu

Joined
Mar 29, 2015
Posts
33
Reaction score
5
3 Fs that every man should bear commitment to his love....should https://jamii.app/JFUserGuide her,FEED her,and FINANCE her....out of that,cheating is a must
 
Hilo la kwanza tuu linatosha, yanayofuata wafanye maboya wengine.
 
Kama akizingua thats abnormal....i.e...not the right way to do, but cha msingi as a man, play your part
 
Kwani wanaofidiwa na kufainensiwa hawafakiwi? Ndooorobo..

A real man does all the above. sasa unaposema hizo zingine wafanye maboya wengine it shoes hujui au hufahamu majukumu ya mwanaume. au ukute unaropoka tu hapa but in the real sense ukute unakopa na kukopa kabisa ili umfinance mwanamke.
 
Asanteeeeeeeee darling one,wape shule hao,tena wasipoangalia wake zao wataibiwa saaaaana kama hawataki kubadilika
 
A real man does all the above. sasa unaposema hizo zingine wafanye maboya wengine it shoes hujui au hufahamu majukumu ya mwanaume. au ukute unaropoka tu hapa but in the real sense ukute unakopa na kukopa kabisa ili umfinance mwanamke.

Shoes=shows. Yaani nikope nifainensi nyapsi labda kama sio wa kaskazini hedikotazi.. Halafu haujajibu swali langu..
 
Shoes=shows. Yaani nikope nifainensi nyapsi labda kama sio wa kaskazini hedikotazi..

Thank you for correcting me..it is just a typing error as you know kwenye keyboard w and e are neighbors.nyie mnaojidai hivo ndo mnakuja kushikwa maskio na hela mnatoa
 
Thank you for correcting me..it is just a typing error as you know kwenye keyboard w and e are neighbors.nyie mnaojidai hivo ndo mnakuja kushikwa maskio na hela mnatoa

Wee utakua muuza nyapsi so unahisi kufanyiwa hayo mawili ya mwisho ni haki yako, kama ni mke nitabadilisha kauli kama ikinibidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…