Mkemia Fred James
Member
- Jul 31, 2022
- 45
- 98
1. Watu pekee wanaokupenda kwa dhati pasipo mategemeo ni wazazi/walezi wako.
2. Mapenzi ni hadithi.Pasipo sababu , hakuna rafiki.
3. Cheka na kila mtu lakini usimuamini mtu.
4. Kila mtu husema Ukweli usemwe lakini hakuna anayependa kuusikia ukweli huo.
5. Pesa ina sehemu yenye nguvu kwenye maisha ya kila mmoja wetu,lakini kwa bahati mbaya haiwezi kununua kila kitu.
6. Matarajio huumiza.Tarajia kidogo au usitarajie chochote kutoka kwa watu.
7. Usizifunue siri zako kwa mtu yeyote.
8. Unapoishi maisha ya kawaida unapata muda mzuri wa kufanya mambo yako ya msingi.
9. Hayupo mtu anayefurahia mafanikio yako isipokuwa familia yako(Timu yako).
10. Usiitoe sadaka furaha yako kwa ajili ya mtu yeyote.Utalizwa.
11. Mungu amewapa watu uwezo wa kufanya na sio kujaribu.
Kura yako ni muhimu!
Enjoy.