Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Toka mashindano ya miss Tanzania yalipoanza ni nadra sana miss tanzania kutoka mkoani.Miss wa Tanzania wengi wanatokea Dar,kwenye wilaya ya kinondoni,temeke na ilala.Miss Tanzania akitoka mikoa mingine inakuwa ni kwa sababu ya kutoa kawama tu kama ilivyokuwa yule miss Mwanza aliyeshinda Miss Tanzania.
Je washiriki wengi toka mikoan hawana vigezo vya kuwa Miss Tanzania,hio ni changamoto kwa wanaoandaa mchuano kutoka nje ya Dar-
Mi nataka kujua kwa nini Mamiss nje ya dar uwa ni wasindikizaji tu wakat Tanzania ina mikoa mingi na urembo siyo dar.