Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
Kabisa mkuu..Mkuu hapo ulisema ukweli but utaratibu uliotumia ndio ulioleta tafrani ungetumia hekima kidogo,ungemsubiri mke wako ili mje muoge pamoja "sweet was just waiting 4 u so that we can take a bath togather" uone kama mambo hayajaanzia hukohuko bafuni
Jamani wana MMU hapa mwenzenu yamenikuta kujifanya mkweli kwa kila jambo....Jana jioni mama karudi toka kwenye mihangaiko yake, kama kawa nikamhug kimahaba, tukakissiana kama, tukavutana kuelekea MANSION kwetu, sasa hapo kiama kikaja baada ya kumwambia..."Mama kaoge kwanza maana jasho limekupiga sana", mwenzenu kusema tu hivyo mama kaja juu, mie nanuka au sio? nenda katafute wasionuka na maneno kibao tu...Nikajiuliza, mbona nikimwambia leo nimepata hiki hufurahia, nikimwambia jana fulani kanitextia ujumbe huu usome anafurahi....Je, ni vitu gani tuambiane ukweli na vipi tusiambiane? niko Dilema jamani....
Uongo kidogo is allowed,.......aaaaaaahahaha!
Mkuu hapo ulisema ukweli but utaratibu uliotumia ndio ulioleta tafrani ungetumia hekima kidogo,ungemsubiri mke wako ili mje muoge pamoja "sweet was just waiting 4 u so that we can take a bath togather" uone kama mambo hayajaanzia hukohuko bafuni
Huyo hajiamini!!Jamani wana MMU hapa mwenzenu yamenikuta kujifanya mkweli kwa kila jambo....Jana jioni mama karudi toka kwenye mihangaiko yake, kama kawa nikamhug kimahaba, tukakissiana kama, tukavutana kuelekea MANSION kwetu, sasa hapo kiama kikaja baada ya kumwambia..."Mama kaoge kwanza maana jasho limekupiga sana", mwenzenu kusema tu hivyo mama kaja juu, mie nanuka au sio? nenda katafute wasionuka na maneno kibao tu...Nikajiuliza, mbona nikimwambia leo nimepata hiki hufurahia, nikimwambia jana fulani kanitextia ujumbe huu usome anafurahi....Je, ni vitu gani tuambiane ukweli na vipi tusiambiane? niko Dilema jamani....
Hahahaha lohhhh
Magu bana pole sana..
Ulichomwambia ni sawa..
Ila njia au njinsi ulivyomwambia dahhh
Uliharibu...
Ungeremba kidogo, weka maneno mawili
Matatu matamu..au vipi..
Kabisa mkuu..
Pole sana. Huyu mwanamke mwenzangu naye ananishangaza, mboana hilo ni jambo la kawaida kwa wapendanao jamani?
Nakushauri, next time ukiona ana majasho kama hivyo, wewe mwambie twende tukaoge mpenzi wangu, hata kama wewe umeoga nendeni tu ili asifikirie vinginevyo. Ila na wewe ulikuwa na haraka sana, kumbuka mlikuwa mmefurahi, ghafla unamletea jambo la kumuudhi, ungevuta subira kidogo pengine asingekasirika
mkuu asante, lkn najitetea kidogo, ujue mie nikirudi mara nyingi huwa akija kwangu namwambia natoa ng'e eeehhh anacheka kweli nakimbia bafuni kuoga....
lol. ulimpokea, ukamhug, ukamkis, ukamvutia kunako....., basi hata bafuni ungempeleka ! kauli uliyo2mia imemkera as far she was exhausted na pilikaz!
Pole kaka, mbembeleze kiss zakumwaga atakusamehe,lakini na wewe hata mie yangenikera.
Huyo hajiamini!!
Sawa mkuu but kila mtu ana threshold yake kuhimili matani we unaweza but mwenzio hawezi,may be she also had along day huko alikokuwa ndio maana akawa sensitive hivyo.Na kila mtu akichoka anakua easily kukasirika
Matendo yake hayaoneshi kujiamini,mtu anaejiamini hawezi kukasirika anapoambiwa ukweli,unless unatania na thread yako hii,kama ni kweli aliropoka hayo ukweli ni kuwa hajiamini!Anajiamini sana mkuu..she is one in zillions...