Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
- Thread starter
-
- #21
Matendo yake hayaoneshi kujiamini,mtu anaejiamini hawezi kukasirika anapoambiwa ukweli,unless unatania na thread yako hii,kama ni kweli aliropoka hayo ukweli ni kuwa hajiamini!
Hili ni tatizo lingine,inaonekana mkeo anajua sana kuwa unapenda sana mavituz so anataka kutumia udhaifu wako kukuadhibu,hiyo sio tabia nzuri kwa mwanamke mwenye hekima hawezi kufanya hayo,nakushauri usimwombe radhi,hujafanya kosa,anataka kukuadhibu kwa udhaifu wako,ukisinyaa utafanya kosa lingine kubwa,utaonekana huna msimamo mbele ya mkeo,belive me mwanamke akijua huna msimamo ni tatizo kubwa,mwambie alikua na jasho na ni lazima akaoge BASI!Kuwa jasiri,kwani ni kipi hasa unaogopa????Halafu kakimbilia kunyimana mavituuzi jamani...ugomvi wowote yeye anakimbilia kule tu....nakwambia niliandaa mishumaa, ma wine acha tu...ugomvi ukaharibu kila kitu....
Pole sana fanya kama nilivyosema hapo juu utaona matokeoHalafu kakimbilia kunyimana mavituuzi jamani...ugomvi wowote yeye anakimbilia kule tu....nakwambia niliandaa mishumaa, ma wine acha tu...ugomvi ukaharibu kila kitu....
Bwana mdogo, wenzako hilo jasho huwa tunalilamba mpaka linakauka sasa wewe unalalamika nini hapa?Naomba siku moja unipatie shemeji akiwa katika hali hiyo.
Hili ni tatizo lingine,inaonekana mkeo anajua sana kuwa unapenda sana mavituz so anataka kutumia udhaifu wako kukuadhibu,hiyo sio tabia nzuri kwa mwanamke mwenye hekima hawezi kufanya hayo,nakushauri usimwombe radhi,hujafanya kosa,anataka kukuadhibu kwa udhaifu wako,ukisinyaa utafanya kosa lingine kubwa,utaonekana huna msimamo mbele ya mkeo,belive me mwanamke akijua huna msimamo ni tatizo kubwa,mwambie alikua na jasho na ni lazima akaoge BASI!Kuwa jasiri,kwani ni kipi hasa unaogopa????
Habari ndo hiyo!Kukuelewa au kutokukuelewa is none of your bussnes!Ni jukumu lake kuwa msafi,wewe umemwambia BASI!umekuna kunako mkuu...nile bati tu au sio....
ekwanza niwie radhi kwa kuniita bwana mdogo....pili kulamba sio hoja hoja ni ukweli.....Mie naramba hadi kinyesi sembuse hilo jasho.....Nakula kila kitu mie kunako malavidavi....
Jamani wana MMU hapa mwenzenu yamenikuta kujifanya mkweli kwa kila jambo....Jana jioni mama karudi toka kwenye mihangaiko yake, kama kawa nikamhug kimahaba, tukakissiana kama, tukavutana kuelekea MANSION kwetu, sasa hapo kiama kikaja baada ya kumwambia..."Mama kaoge kwanza maana jasho limekupiga sana", mwenzenu kusema tu hivyo mama kaja juu, mie nanuka au sio? nenda katafute wasionuka na maneno kibao tu...Nikajiuliza, mbona nikimwambia leo nimepata hiki hufurahia, nikimwambia jana fulani kanitextia ujumbe huu usome anafurahi....Je, ni vitu gani tuambiane ukweli na vipi tusiambiane? niko Dilema jamani....
Kwanini ameshtuka hivyo??!..labda alikuwa na siku mbaya kazini!..aki-cool down ongea nae, mwambie hukuwa na nia mbaya!!..kwahiyo hamkuendeleza 'mansion game' tena???
Ulimwambia ukweli kuwa ananuka!? He, unampenda halafu unahisi ananuka vibaya?! No, ipo namna huitamki. Pengine ulihisi kachakachuliwa. Hata hivyo ulilonena, kama ulikuwa na nia nzuri hukuliweka vizuri. Hebu fikiri hii, pengine alikuwa kachakachuliwa huko nawe unamwambia akaoge! Hiyo guilty consciousness lazima imfanye awe mbogo. Pole lakini.
huyo ni mlugaluga sasa anataka kusifiwa hata pasipo stahili....dawa yake yale asiyopenda wewe mfanyie then ataelewa tuuuu ...
e
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, punguza hasira Magulumangu.
back to the topic, kosa ulilolifanya ni namna ulivyomwambia mwenzako, siku nyingine mpelekane wote, muoge wote.
Habari ndo hiyo!Kukuelewa au kutokukuelewa is none of your bussnes!Ni jukumu lake kuwa msafi,wewe umemwambia BASI!
Pole sana fanya kama nilivyosema hapo juu utaona matokeo
nakwambia ilifutwa halafu kulikuwa na wine la kufa mtu, yale mambo ya LIZZY maakuli niliandaa, mwendo wa candle light tuu lkn ndo hivyo tena....
Ni vizuri kutokuwa na mawazo machafu kwa mkeo/mmeo (hata kama atafanya uchafu). Hii ndo maana ya ndoa. Ila sentensi yako Mama kaoge kwanza maana jasho limekupiga sana" inaleta tafsiri nyingi mno, zilizo sahihi na zisizo. Uvumilivu unatakiwa.Umesoma btn the lines lkn mkuu? Sina mawazo machafu na mke wangu hata siku moja na wala sifikirii anaweza fanya kitu kibaya juu yangu....by the way asante kwa ushauri ila sorry sitauchukua....
Aisee pole sana na kama ulikuwa na mhemko wa hali ya juu ulibaki ukisikilizia maumivu tu!!..! sasa inabidi umwelewe mwenza wako, muda gani wa kumwambia/kumkosoa vitu!!..tena mkiwa na furaha unaweza kuichomekea hiyo topic usikie comments zake!!..
Hadi maakuli akachomoa, kweli anacheza makida makida kwenye nyaya za simu🙂)) msamehe bure!!