Ukweli ndio mapenzi ya kweli?

labda hakua tayari kuupokea kwa wakati huo.but ukweli unahitajika kwa watu mlio kwenye ukweli kama wewe

usiombe haya mambo yakutokeee unatamani uwe muongo tu kila kitu au kujifanya ambacho mie sikipendi kabisa.
 
MJ1 hujambo mami??

yaani hapo kwenye red ndio futa kazi ..
Magu chukua hiyo penseli juu ya meza
na hiyo bahasha ya bili ya umeme andika
hiyo kitu MJ1 aliyo kwambia ..
sante dear

kumbe ulikuwa unachungulia tu nipigiliwe nyundo then u finalize kabisa...duh ujumbe sent...nimeweka kabisa note bene kama secondary....karatasi Bili haitanoga ngoja nikanunue kabisa plane paper pale photo copy na mark pen nije ninote vizuriii...
 
hahahaah loohh
Maguu umeona aee hilo neno la "PAMOJA"
lilivyo muhimu ... Hope umeandika na hii 🙂


kila kitu tunafanyaga pamoja bwana hata kuoga sema tu ukweli wangu umeniponza na jinsi ya kuuexpress...halafu wewe AD unakesi ya kujibu...
 
Kukujibu tu ni dalili njema!! Chombeza na kajiutani kidogo (Hata ka chumbani mwe) Mtayarishe tangu mapema bana ajue kuwa ana'overtime' inamsubiri. Kila la kheri Bro.

usijali am expert on that plus maushari yako ya "PAMOJA" si umeona hata AD kashindilia misumari?
 
kila kitu tunafanyaga pamoja bwana hata kuoga sema tu ukweli wangu umeniponza na jinsi ya kuuexpress...halafu wewe AD unakesi ya kujibu...

Nilikuwa na tabasamu kweli kweli
mpaka nilipofika hapo kwenye red...
sasa tuende chumbani unidokeze..
au tuna malizana hapa hapa ..
(ningependa chumbani zaidi teh teh asante )
 

Siajkuangusha dear....leo nilimwandikia mistari minne kumkumbusha tulipoanzia, katabasamu kidogo na kuandika mambo yenye matumaini ya kupoa ekaristi leo.....
 
Hahahahaahah acha uchimvi we mwali lol
Nasubiria malaika kama Magulumangu atokee ndotoni mwe!! Outing muhimu mydia akili itafubaa

usijali wewe tena? ngoja nirekebishe kuna mbuzi wawili hapa lazima nyaya za grill zichafuke maana zimeanza kuota kutu....
 
hahahahahah lohhh
...
Maguu mpaka apate hayo maneno mmmhh
Usijali lakini atajitokeza tu ..... piga moyo konde dear ....
Haya ungenialika tungefanya ( girls/women night out hahaha )

Wewe AD una bonge la kesi kwangu..ndo nini ikifika saa nne tu hupokei simu?
 

Nilikuwa na tabasamu kweli kweli
mpaka nilipofika hapo kwenye red...
sasa tuende chumbani unidokeze..
au tuna malizana hapa hapa ..
(ningependa chumbani zaidi teh teh asante )


Ooohh nimeharibu tena? nishamwaga kwa wale kuku wa jirani mtama acha waushambulie, halafu wakorofi wale? siuji wana CRISIS
 
Mkuu hapo ulisema ukweli but utaratibu uliotumia ndio ulioleta tafrani ungetumia hekima kidogo,ungemsubiri mke wako ili mje muoge pamoja "sweet was just waiting 4 u so that we can take a bath togather" uone kama mambo hayajaanzia hukohuko bafuni
charger uko juu, umegusa penyewe kabisa
 
Siku nyingine mwambie nanii inanuka,,,, usikilizie msimamo wake.

nanii ndo nini wewe first born? halafu nilisikiaga ma first born mna matatizo yenu kweli? Kwa usemi wako huu kweli nashawishika kuproove....
 
Yaani Maguu Leo si siku yako kabisa. Umeona unavyoharibu kila kitu Mmmmhhhhh

Dah nashukru kwa kuliona hilo dear....halafu ushauri wako chemba bomba kinoma.....Nilikwambia leo sijui vipi lkn usijali....mwanajamiione nimemuona ile baa ya Massawe akila kili baridi....kaanza weekend mapema sana....
 


Approach haikusimama vizuri.........................ungejichanganya naye........

Mfano....."Mpenzi wangu jasho limenipiga leo......ila ningependa tukaoge pamoja"
So mngeenda oga pamoja............kero ya josho ulilolisikia kwake ingekwisha................
Pengine mngetoka hoku.............................. mmemaliza KIU yote!
 


hapo chacha nitaonekana sio mkweli na naisuta nafsi yangu au inakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…