Ukweli ni huu Mwaipopo yupo chini ya serikali ya CCM na anaye msimamia ni msemaji wa serikali Msigwa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Msemaji wa serikali baada ya kuona kama kawa kituko kwenye jamii. Kaamua kuruhusu Mwaipopo kuwa badala ya ili wasionekana kuwa wanafikisha maelezo yao.

Ukifatilia kwa umakini matamshi anayoongea Mwaipopo na ukirudi kwa Msigwa unaona kama script ni Msigwa jinsi ya kuongea na kutishia watu.
 
Huyo anabaraka zaidi ya gerishoni. Huyo ni mwenfelezo ule ule WA vikundi vya jeshi ndani ya mfuko usio rasmi wa jeshi.
 
Hili lilikuwa wazi sana, kuwa yule yupo chini ya mfumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…