Ukweli ni huu.......!

Hili tatizo ni kubwa kiasi gani?Una takwimu mfano kati ya kumi ni wangapi?
 
Samahani wachangiaji, kuna kitu kimenipita katika sentensi hii: "kutokwa na haja kubwa wakati wa kujifungua ni sababu ya kutumia tigo".

Hapa TIGO imetumika kumaanisha nini?

Samahani ndugu zangu wapendwa, humu JF tumechanganyikana kwelikweli! Wengine tulizowea viswahili vya 1960s. Hivi viswahili vyenu vya siku hizi wakati mwingine vinatusumbua.

Haya...: TIGO imetumikaje hapo?
 
Hehhe pole mzee,Tigo ni goti..yani kwenda kimenyu-menyu
 
Sipendi niitwe kutoa ushahidi, lakini ninawafahamu wasichana kadhaa ambao kabla ya kuolewa waliliwa tigo kwa sana, na walipoingia kwenye ndoa walizaa bila hilo tatizo la kutoka kinyesi kwenye haja kubwa. Labda wanaosema tigo inasababisha tatizo hilo na wenyewe watupe ushahidi wao.
 
Niliongea na daktari flani akanieleza juu ya hilo,kama hakuna uchafu ktk rectum hiyo kitu haitokei na kama kuna uchafu probably lazma utoke b4v mtoto hajatoka
 
kufanya mapenzi kinyume na maumbile.....
 
Hili tatizo ni kubwa kiasi gani?Una takwimu mfano kati ya kumi ni wangapi?
hili si tatizo ni hali ya kawaida hutokea bt people wanapotosha kwa kuihusisha na utumiaji wa tigo
 
Niliongea na daktari flani akanieleza juu ya hilo,kama hakuna uchafu ktk rectum hiyo kitu haitokei na kama kuna uchafu probably lazma utoke b4v mtoto hajatoka

ni kweli hii ni normal especial kwa wanaojifungua kwa mara ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…