Ukweli ni kuwa kiulinzi kisiwa cha Greenland ni "mali" halisi ya kudumu ya taifa la Marekani kabla na baada ya vita kuu ya pili ya Dunia

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote

Serikali ya Marekani ilishajimilikisha kisiwa cha Greenland kabla ya vita kuu ya dunia na kisha kumilikishwa rasmi kupitia mkataba wa kijeshi wa kijeshi wa mwaka 1951!

Serikali ya Denmark inatoa tu kauli za kawaida lakini inatambua kuwa kisiwa hicho ni " Mali" ya Marekani na haitarajii wala kuombea yatokee mabadiliko yoyote

Kauli za kwenye vyombo vya habari zinazolia kwa mdundo mkubwa ni mbwembe tu za kidiplomasia

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya kidiplomasia

Asubuhi njema
 
Trend ya haya mataifa kujimilikisha mataifa mengine inashika kasi
China >> Taiwan
Russia >> Ukraine (Crimea)
Marekani >> Canada, Greenland
 
Hii ni sawa tu na mpaka wa Malawi na Tanganyika/Tanzania kwenye google na uhalisia
 
Trend ya haya mataifa kujimilikisha mataifa mengine inashika kasi
China >> Taiwan
Russia >> Ukraine (Crimea)
Marekani >> Canada, Greenland
Malawi==== mbeya

Kidole kimoja ukimnyooshea mwenzako, vitatu vimegeukia upande wako.
 
Baada ya vita ya uganda 🇺🇬 tungeinganisha kwenye muungano kisha tujiite great Tanganyika
Lilikua kosa kubwa sana kuiachia uganda ilitakiwa palepale tutwae iwe jimbo letu lakini kwa sasa msumbufu kabaki ni nchi ya malawi hii tuitwae mapema sababu uko mbeleni itatusumbua
 
Wadau hamjamboni nyote

Serikali ya Marekani ilishajimilikisha kisiwa cha Greenland kabla ya vita kuu ya dunia na kisha kumilikishwa rasmi kupitia mkataba wa kijeshi wa kijeshi wa mwaka 1951!

Serikali ya Denmark inatoa tu kauli za kawaida lakini inatambua kuwa kisiwa hicho ni " Mali" ya Marekani na haitarajii wala kuombea yatokee mabadiliko yoyote

Kauli za kwenye vyombo vya habari zinazolia kwa mdundo mkubwa ni mbwembe tu za kidiplomasia

Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya kidiplomasia

Asubuhi njema
Better be zero brain than Makende brain....
 
Back
Top Bottom