Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hili halina ubishi."Sehemu kubwa ya ukrein pia ni mali ya Russia".
Tanzania>>> Unguja rwanda,Burundi na Ziwa nyasa.Trend ya haya mataifa kujimilikisha mataifa mengine inashika kasi
China >> Taiwan
Russia >> Ukraine (Crimea)
Marekani >> Canada, Greenland
Hii ni sawa tu na mpaka wa Malawi na Tanganyika/Tanzania kwenye google na uhalisiaWadau hamjamboni nyote
Serikali ya Marekani ilishajimilikisha kisiwa cha Greenland kabla ya vita kuu ya dunia na kisha kumilikishwa rasmi kupitia mkataba wa kijeshi wa kijeshi wa mwaka 1951!
Serikali ya Denmark inatoa tu kauli za kawaida lakini inatambua kuwa kisiwa hicho ni " Mali" ya Marekani na haitarajii wala kuombea yatokee mabadiliko yoyote
Kauli za kwenye vyombo vya habari zinazolia kwa mdundo mkubwa ni mbwembe tu za kidiplomasia
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya kidiplomasia
Asubuhi njema
Tuchukue na North msumbiji iwe bonge la empireTanzania>>> Unguja rwanda,Burundi na Ziwa nyasa.
Nafikiri kongo ile inayoongea kiswahili yote iwe kwetuTuchukue na North msumbiji iwe bonge la empire
Baada ya vita ya uganda 🇺🇬 tungeinganisha kwenye muungano kisha tujiite great TanganyikaNafikiri kongo ile inayoongea kiswahili yote iwe kwetu
Muhoozi kinerugaba angekuja kutusumbua au na yeye angepotezwa mkuu?Baada ya vita ya uganda 🇺🇬 tungeinganisha kwenye muungano kisha tujiite great Tanganyika
Malawi==== mbeyaTrend ya haya mataifa kujimilikisha mataifa mengine inashika kasi
China >> Taiwan
Russia >> Ukraine (Crimea)
Marekani >> Canada, Greenland
Tungemtimulia mbali akaishi ughaibuni kama sultanMuhoozi kinerugaba angekuja kutusumbua au na yeye angepotezwa mkuu?
Lilikua kosa kubwa sana kuiachia uganda ilitakiwa palepale tutwae iwe jimbo letu lakini kwa sasa msumbufu kabaki ni nchi ya malawi hii tuitwae mapema sababu uko mbeleni itatusumbuaBaada ya vita ya uganda 🇺🇬 tungeinganisha kwenye muungano kisha tujiite great Tanganyika
Morocco >> Sahara Magharibi.Trend ya haya mataifa kujimilikisha mataifa mengine inashika kasi
China >> Taiwan
Russia >> Ukraine (Crimea)
Marekani >> Canada, Greenland
Better be zero brain than Makende brain....Wadau hamjamboni nyote
Serikali ya Marekani ilishajimilikisha kisiwa cha Greenland kabla ya vita kuu ya dunia na kisha kumilikishwa rasmi kupitia mkataba wa kijeshi wa kijeshi wa mwaka 1951!
Serikali ya Denmark inatoa tu kauli za kawaida lakini inatambua kuwa kisiwa hicho ni " Mali" ya Marekani na haitarajii wala kuombea yatokee mabadiliko yoyote
Kauli za kwenye vyombo vya habari zinazolia kwa mdundo mkubwa ni mbwembe tu za kidiplomasia
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya kidiplomasia
Asubuhi njema
Israel >> PalestineTrend ya haya mataifa kujimilikisha mataifa mengine inashika kasi
China >> Taiwan
Russia >> Ukraine (Crimea)
Marekani >> Canada, Greenland