Hahaha hii itakuwa kali, sijui watamzuia kwa mfanoUsijali kesho atakwenda msibani kumuaga hayati mzee Mkapa kwa heshima zote.
Wewe ndiye hujawaelewa usinisemee mimiTundu Lissu ni jeuri na ana kiburi cha kuzaliwa, na hicho kiburi ndicho kitakachoiangamiza CHADEMA kwani hawawezi kumzuia wala kumfunga gavana anafanya anachotaka, ni kama mtoto anayedekezwa na kupewa kila kitu anachotaka na wazazi wanaogopa hata kumfokea kwani anatishia kujiua kama wakililazimisha kufanya wanachotaka.
Nina Uhakika Viongozi wa CHADEMA wanalijua hili na wana wakati mgumu sana na Tundu Lisu, upande mmoja wanataka kumzuia kwa manufaa ya Chama upande mwingine wanaogopa tantrum atakayotoa kama asipopata anachotaka, mfano hili ya msiba wa Kitaifa Tundu Lissu analazimisha kujichanganya CHADEMA wanajua kabisa siyo sawa hata Mbowe analijua hilo lakini anaogopa kumuuzi golden child, sasa huo uoga unakwenda kuwamaliza kwani hakuna atakayewaelewa.
Tundu Lissu ni jeuri na ana kiburi cha kuzaliwa, na hicho kiburi ndicho kitakachoiangamiza CHADEMA kwani hawawezi kumzuia wala kumfunga gavana anafanya anachotaka, ni kama mtoto anayedekezwa na kupewa kila kitu anachotaka na wazazi wanaogopa hata kumfokea kwani anatishia kujiua kama wakililazimisha kufanya wanachotaka.
Nina Uhakika Viongozi wa CHADEMA wanalijua hili na wana wakati mgumu sana na Tundu Lisu, upande mmoja wanataka kumzuia kwa manufaa ya Chama upande mwingine wanaogopa tantrum atakayotoa kama asipopata anachotaka, mfano hili ya msiba wa Kitaifa Tundu Lissu analazimisha kujichanganya CHADEMA wanajua kabisa siyo sawa hata Mbowe analijua hilo lakini anaogopa kumuuzi golden child, sasa huo uoga unakwenda kuwamaliza kwani hakuna atakayewaelewa.
Atazimia kabisaaLissu anawapa wakati mgumu sana wanachama wa CCM! Jitahidi ufike uwanja wa ndege ujionee mapokezi yake.
Lazima mikojo ikutoke tuTundu Lissu ni jeuri na ana kiburi cha kuzaliwa, na hicho kiburi ndicho kitakachoiangamiza CHADEMA kwani hawawezi kumzuia wala kumfunga gavana anafanya anachotaka, ni kama mtoto anayedekezwa na kupewa kila kitu anachotaka na wazazi wanaogopa hata kumfokea kwani anatishia kujiua kama wakililazimisha kufanya wanachotaka.
Nina Uhakika Viongozi wa CHADEMA wanalijua hili na wana wakati mgumu sana na Tundu Lisu, upande mmoja wanataka kumzuia kwa manufaa ya Chama upande mwingine wanaogopa tantrum atakayotoa kama asipopata anachotaka, mfano hili ya msiba wa Kitaifa Tundu Lissu analazimisha kujichanganya CHADEMA wanajua kabisa siyo sawa hata Mbowe analijua hilo lakini anaogopa kumuuzi golden child, sasa huo uoga unakwenda kuwamaliza kwani hakuna atakayewaelewa.
Kwani watu huwa wanalazimishwa kwenda masibani, yaani niache kwenda kumpokea Lisu niende uwanja wa Uhuru, kweli CCM mnatuona mabwege sana
FoolishTundu Lissu ni jeuri na ana kiburi cha kuzaliwa, na hicho kiburi ndicho kitakachoiangamiza CHADEMA kwani hawawezi kumzuia wala kumfunga gavana anafanya anachotaka, ni kama mtoto anayedekezwa na kupewa kila kitu anachotaka na wazazi wanaogopa hata kumfokea kwani anatishia kujiua kama wakililazimisha kufanya wanachotaka.
Nina Uhakika Viongozi wa CHADEMA wanalijua hili na wana wakati mgumu sana na Tundu Lisu, upande mmoja wanataka kumzuia kwa manufaa ya Chama upande mwingine wanaogopa tantrum atakayotoa kama asipopata anachotaka, mfano hili ya msiba wa Kitaifa Tundu Lissu analazimisha kujichanganya CHADEMA wanajua kabisa siyo sawa hata Mbowe analijua hilo lakini anaogopa kumuuzi golden child, sasa huo uoga unakwenda kuwamaliza kwani hakuna atakayewaelewa.
Mbona CCM ndio mnahangaika sana na Lissu, kulikon wazeeee?