Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Kuna kale kadada kako kule twiter kanaitwa ka Hilda eti kanaonesha msimamo kanawaiga kina Maria Sarungi na kigogo huku kana njaa hadi machoni.
Msimamo bongo hapa huku una njaa? Acha kina Halima wakajipigie mihela
nafasi zipi , hizi ambazo walioteuliwa wamelipwa kwanza 600 mil za kishika uchumba ?Hakuoata nafasi tu.
Angepata naye angekuwepo
Tumekusikia mbeba mikoba wa mwenye SACCOSS,ulipotea sana,naona Mdee kakuibua machimboHuu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
Je Kitila, Zito, Mwigamba, Mgwila, Kafukila waliadhirika?Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
nafasi zipi , hizi ambazo walioteuliwa wamelipwa kwanza 600 mil za kishika uchumba ?
Kama hujui kitu nyamaza wewe !Si kweli
Serikali haina hela ya hivyo wewe
Hukuona ?Je Kitila, Zito, Mwigamba, Mgwila, Kafukila waliadhirika?
Sijawahi kupotea JF , naambiwa laana ya wizi wa kura inaitafuna Kyela mpaka maembe yamekataa kuzaa mwaka huu !Tumekusikia mbeba mikoba wa mwenye SACCOSS,ulipotea sana,naona Mdee kakuibua machimbo
Wamefyekelewa mbaliKama chama kina jeuri kina jiamini kiwatimue tuu uanachama lakini pamoja na hayo wakidanya hivyo msaada kutoka nje nao watakosa maana kitakuwa hakina wawakilishi bungeni
Umaarufu na heshima aliyokuwa nayo Dr.Slaa iko wapi?Umaarufu alikuwa na Kafulila uko wapi?Umaarufu alioupata Katabi uko wapi leo.Joshua Nasari!,Nilijualikali,..Kama nani kwa mfano?
Kama hujui kitu nyamaza wewe !
Kama kawajengea wastaafu mahekaru huku hospitali zikiwa hazina dawa unashangaaje hili ?Ha ha ha
Hela za Magu huyu huyuuu
600M * 19..... Anawaogopa wananchi ama?
Siyo kweli! Kwa metric chache tu ni kuwa Zitto aliwashinda CHADEMA mahakamani na sasa hivi amewashindwa CHADEMA kwa kuwa na wabunge wengi wa kuchaguliwa hata kama siyo kwa kura nyingi. Metric ya pili ni kuwa wabunge waliohama chadema kati ya 2015 na leo wamesababisha CHADEMA kuanguka na kushindwa kunyakua viti vya ubunge, mmojawapo akiwa ni Waitara. Sababu za aina ya Trump kuwa wameibiwa kura ni kisingizio tu cha kuficha aibu. Ndiyo maana kelel zote za akina Amsterdam haziendi popopte, na badala yake TZa inepewa uongozi ndani ya UN, na vile vile EU inaendelea kushirikiana na TZ!Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali.
Kwahiyo wanachopaswa kutambua wasaliti wapya na wajao ni kwamba usaliti wao utawagharimu heshima na utu wao mbele ya jamii kama ilivyowagharimu wasaliti waliopita ambao sasa wamepoteza kila kitu mbele ya Jamii, japo wamepata hela baada ya kununuliwa, hawaheshimiki na yeyote na wamedharauliwa moja kwa moja.
Muda utaongea...
huna unalolijua , sijui ulipewaje huo U platnum member ?Siyo kweli! Kwa metric chache tu ni kuwa Zitto aliwashinda CHADEMA mahakamani na sasa hivi amewashindwa CHADEMA kwa kuwa na wabunge wengi wa kuchaguliwa hata kama siyo kwa kura nyingi. Metric ya pili ni kuwa wabunge waliohama chadema kati ya 2015 na leo wamesababisha CHADEMA kuanguka na kushindwa kunyakua viti vya ubunge, mmojawapo akiwa ni Waitara. Sababu za aina ya Trump kuwa wameibiwa kura ni kisingizio tu cha kuficha aibu. Ndiyo maana kelel zote za akina Amsterdam haziendi popopte, na badala yake TZa inepewa uongozi ndani ya UN, na vile vile EU inaendelea kushirikiana na TZ!