Ukweli ni kwamba January Makamba ana dharau!

Ukweli ni kwamba January Makamba ana dharau!

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Jamaa ni mjivuni hasa na ni mtu wa nyodo!

Bahati mbaya sana kwa wasiomtambua kwa undani hu-fake kwao eti ni mtu asiye na mawaa na ni mtu wa watu jambo ambalo si kweli alivyo.

Kwa dharau zake sioni ni kwa namna ipi ataepuka nongwa na mashambulio kutoka kwa wawakilishi wenzake.

Wabunge wengi wanampenda kinafiki na wengi wao wanaombea anguko lake litimu.
 
Back
Top Bottom