Ukweli ni kwamba..............kuhusu valentine day...

carmel

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,836
Reaction score
265
Najua wengi mtakuja na siasa za Oooh Valentine tunaiga, kwa nini niifanye siku siku hii special kushinda zingine, sijui mimi nampenda wife or hubby na kumtreat sawa kila siku, why today iwe special. Sasa kwa wenye masikio na wasikie, this is from a woman's heart.
Wanawake siku zote wako kama watoto, i mean ni vitu vidogo sana vinavyoweza kulainisha moyo wa mwanamke, kumuonyesha unamjali kwa vitu vidogo tu, kulingana na uwezo wako.Katika maisha ya kila siku, huitaji kuwa tajiri kumuonyesha mwenzio unamjali, hata ukitoka job ukapitia matunda ya buku ukampelekea ataona unamjali, ukimpigia simu au sms mara tano kwa siku ataona unamjali, ukimpa zawadi hata yenye thamani ya buku tano mara mbili kwa mwezi ataona unamjali, vha msingi zingatia uwezo ulio nao na ufanye mambo ya kujali yanayolingana na uwezo wako, we do appreciate. Na kwa wadada pia show your men kwamba you care.The same kwa siku hii, fanyeni vitu vya kuonyesha upendo kwa wenzenu, it doesnt hurt anyone, show love and take love. Kila mtu na awe na furaha.
Well, kwa wale ambao siku itaisha mkiwa bado mnasubiri suprise na kuishia kuwa dissapointed, natanguliza pole za dhati. Happy Valentines to all of you.
 
Happy Valentine Carmel,show love and receive love,cheers!!
 
Teamo anawatakia sherehe njema ya Mtakatifu Valentine Siku ya leo
tar 14/02/2011.

Tuwe na amani

Tuwe watulivu

Tuwahi kurudi nyumbani tukae na familia na watu tunaowapenda
zaidi,naamini kwamba kwa siku ya leo familia yako (wife/husband and
kids) watakuwa wanakuhitaji sana

Kwa wale singles naomba tusiitafsiri vibaya siku hii takatifu....!
tusiigeuze kuwa siku ya kufanya uasherati.Tutakuwa tunapoteza ladha ya
sherehe hii pendwa

MUNGU AWABARIKI SANA

Teamo
 
Read what God commands His people concerning pagan customs and traditions: "Learn not the way of the heathen…For the customs of the people are vain" (Jer. 10:2-3). Also notice Christ's words in Matthew 15:9: "…in vain they do worship Me, teaching for doctrines the commandments of men."
 
Carmel...umenena vema.

Happy Valentine's day!
 
Teamo anawatakia sherehe njema ya Mtakatifu Valentine Siku ya leo
tar 14/02/2011.

Tuwe na amani

Tuwe watulivu

Tuwahi kurudi nyumbani tukae na familia na watu tunaowapenda
zaidi,naamini kwamba kwa siku ya leo familia yako (wife/husband and
kids) watakuwa wanakuhitaji sana

Kwa wale singles naomba tusiitafsiri vibaya siku hii takatifu....!
tusiigeuze kuwa siku ya kufanya uasherati.Tutakuwa tunapoteza ladha ya
sherehe hii pendwa

MUNGU AWABARIKI SANA

Teamo

Asante Teamo, may this day leave you with happiness and Agape Love from all the pipo u care about!!! Happy St. Valentine's Day
 
carmel........aksante sana kwa upendo huu tumeupokea na kubarikiwa

hivi Valentine ni upendo wa kila siku...na kila siku ni valentine...........ah
 
Thanks Camel!!
Happy tudei mamito!!
 
carmel me love ya more after this......
happy valentine...
 
UKWELI NI KWAMBA VALENTINE`S DAY NI SIKUKUU YA WAPAGANI,,,,,,HONGERENI WAPAGANI WOTE KWA KUSHEHEREA SIKUKUU YENU.. . :clap2:
 
Back
Top Bottom