britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
#teammembeUkweli CCM ilijijengea Heshima zamani, Ila kwa sasa mambo yanaenda ndivyo sivyo,
Kwasasa Ndani ya CCM kuna mvurugano mkubwa wa hali ya Juu,
Pamoja na Kugawanyika vipande ndani ya Chama kuna viongozi wakuu wa zamani wamekuwa kimya bila kutaja pande zao,
Leo hii CCM imegawanyika pande 3
1.Wale Pro Magufuli bila kujali anakosea au anapatia kwa afanyayo,
2.Against Magufuli
Hawa hawana muda hata wa kuchambua na kujua ama Magufuli anafanyayo
3.Kuna wale ambao ni wachambuzi makini
Lakin asilimia kubwa wanamsaport Membe
Upinzani Wanaweza kupima je waende na Membe au Lissu,
Wengi wanaompenda Lissu wanahofu je anaweza akarudi Tanzania bila kubambikiwa kesi?
Wengine wanaona Bora Membe ambaye anayaishi maisha ya Kutishiwa ndani ya Tanzania Kuliko Lissu ambaye anahofia usalama wa Maisha yake ndani ya Tanzania, itamnyima nafasi ya kucheza Karata zake vyema,
Ukweli CCM ilijijengea Heshima zamani, Ila kwa sasa mambo yanaenda ndivyo sivyo,

Membe anatajwa sana kuwa anayo turufu ya kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu na amesisitiza kuwa October ni parefu lolote laweza tokea huyo ndiye Membe anayetajwatatajwa. Chadema na Lissu tu.Membe anatajwatajwa sana.hii inaashiria Lissu kwisha habari yake.
Lakini mwisho wa siku Membe atarudi CCM piga ua.
Mkuu Tindo, hili ni jukwaa huru lenye kuchambua hoja mbalimbali za kisiasa. Sidhani kama ni vyema kumhukumu mtoa hoja kuwa amenunulika kwa vipande vya rupia pale inapotokea kuwa anapendelea mlengo ama mpeperusha bendera fulani wa chama cha kisiasa.Brother kama umekula hela ya Membe tunaomba umrudishie. Ya Lowassa yanatutosha, ni bora tupigie kura picha ya Lissu akiwa gerezani au popote pale, kuliko kumpigia kura Membe.
Ukweli CCM ilijijengea Heshima zamani, Ila kwa sasa mambo yanaenda ndivyo sivyo,
Kwasasa Ndani ya CCM kuna mvurugano mkubwa wa hali ya Juu,
Pamoja na Kugawanyika vipande ndani ya Chama kuna viongozi wakuu wa zamani wamekuwa kimya bila kutaja pande zao,
Leo hii CCM imegawanyika pande 3
1.Wale Pro Magufuli bila kujali anakosea au anapatia kwa afanyayo,
2.Against Magufuli
Hawa hawana muda hata wa kuchambua na kujua ama Magufuli anafanyayo
3.Kuna wale ambao ni wachambuzi makini
Lakin asilimia kubwa wanamsaport Membe
Upinzani Wanaweza kupima je waende na Membe au Lissu,
Wengi wanaompenda Lissu wanahofu je anaweza akarudi Tanzania bila kubambikiwa kesi?
Wengine wanaona Bora Membe ambaye anayaishi maisha ya Kutishiwa ndani ya Tanzania Kuliko Lissu ambaye anahofia usalama wa Maisha yake ndani ya Tanzania, itamnyima nafasi ya kucheza Karata zake vyema,
liwake jua inyeshe mvua CDM mgomtbea u-Rais ni TL
Mpaka sasa upinzani nao wako njia panda awajui nani na yupi ila hapa kama kuna gia kubadilishiwa angani dhidi ya lissu naona kama wanamsubiri aje alafu wayajenge nae usishanga akaa pembeni ama huyo membe anavyosema akipewa ridhaa atakubaliUkweli CCM ilijijengea Heshima zamani, Ila kwa sasa mambo yanaenda ndivyo sivyo,
Kwasasa Ndani ya CCM kuna mvurugano mkubwa wa hali ya Juu,
Pamoja na Kugawanyika vipande ndani ya Chama kuna viongozi wakuu wa zamani wamekuwa kimya bila kutaja pande zao,
Leo hii CCM imegawanyika pande 3
1.Wale Pro Magufuli bila kujali anakosea au anapatia kwa afanyayo,
2.Against Magufuli
Hawa hawana muda hata wa kuchambua na kujua ama Magufuli anafanyayo
3.Kuna wale ambao ni wachambuzi makini
Lakin asilimia kubwa wanamsaport Membe
Upinzani Wanaweza kupima je waende na Membe au Lissu,
Wengi wanaompenda Lissu wanahofu je anaweza akarudi Tanzania bila kubambikiwa kesi?
Wengine wanaona Bora Membe ambaye anayaishi maisha ya Kutishiwa ndani ya Tanzania Kuliko Lissu ambaye anahofia usalama wa Maisha yake ndani ya Tanzania, itamnyima nafasi ya kucheza Karata zake vyema,
Kufanya kosa sio kosa, kurudia kosa ndio kosa.Hata kipindi cha lowasa mlisema hivyo, lakini baada ya gia ya angani mkabadilika na kukana matamshi yenu.
Tumewazoea.
I wish Magufuli angeshindwa vibaya kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu kama yule mwenzake wa Malawi!!
Naunga mkono hoja.Ukweli CCM ilijijengea Heshima zamani, Ila kwa sasa mambo yanaenda ndivyo sivyo,