Nimegundua tu CCM wana akili sana na wanawaza kimkakati zaidi
Tunaweza kuona chawa hafai kuwa kiongozi, lakini wao wametumia ushawishi wa uchawa katika siasa na kuangalia wingi wa wafuasi, japo wajumbe huwa hawasomeki moja kwa moja.
Kwa hili nyomi naona kabisa Baba Levo anachukua kiti cha ubunge Kigoma Mjini, tusishangae sana ila tujiandae kufuatilia bunge la uchawa
Acha kuwaza kijinga... Kuwekwa kwa baba levo nikumpa nafasi mtu wao Zitto kushinda ubunge kirahisi ili akawe kwenye kiti maalum kupitisha ujinga na wizi wa mali za Taifa. Baba levo ni kama toi limewekwa hapo.