Ukweli ni kwamba wanawake wenye pesa hupenda uhuru kwa sababu ya kupenda wanaume tofauti

Ukweli ni kwamba wanawake wenye pesa hupenda uhuru kwa sababu ya kupenda wanaume tofauti

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Kuna jambo la kushangaza kidogo.
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu katika biblia,kuna laana zilitamkwa na Mungu baada ya wazazi wetu kufanya dhambi.
Katika laana zilizotolewa,ni pamoja na ile kuwa mwanamke atazaa kwa uchungu na tamaa yake itakuwa kwa mumewe.

Katika hizo laana,kuzaa kwa uchungu wengi hawaiepuki.Lakini hii ya tamaa yako kuwa kwa mumeo,wanawake wengi wenye kipato wameiepuka.Wengi wameingia mikataba na ibilisi ambaye amewaahidi furaha na amani kwa kuikataa laana hiyo ya tamaa yao kuwa kwa mumewe.

Wengi hawana tamaa kwa waume zao na ndio maana wanawadharau.Na wanataka uhuru ili wakapate farijiko la kihisia kutoka kwa wanaume wanaowataka.

Katika dunia ya sasa,shetani anafanya ngono na wanawake wenye mafanikio ya uchumi.Ngono hii hufanyika kupitia wanaume wanaoonekana kama watu kwa kila namna lakini ukweli ni majini katika maumbile ya watu ama wakati mwingine ni watu waliojazwa nguvu za kishetani.
Sio rahisi binadamu wa kawaida kushindana na shetani katika kumridhisha mwanamke.
Mwanamke ni kiumbe pekee ambaye hata Mungu hajaweza kumridhisha ila huridhishwa na shetani.
Mwanamke huwa yuko kwenye mapambano makali hadi pale atakapokutana na shetani ndipo hutulia na kuridhika.

Mwanamke asipomcha Mungu,na kukubali kuwa mnyenyekevu,ni mali ya ibilisi asilimia mia
 
Vijana wa kiume wenye hela hupenda gari za aina tofauti tofauti maarufu kwa sababu wanajua wanawake wanazipenda gari hizoo

zimebaki siku 19 kuingia 2025
 
Back
Top Bottom