Tusaidie Mkuu kuleta hoja za msingiSiku mbili hizi, nyuzi za yanga zinafika 1000,
Tumekua wavivu sana kuleta hoja za msingi..
Ndio maana Mangungu anawaendesha kama malofaTatizo hapa sio mdhamini. Tatizo ni viwalo.
Yanga wako tayari kutoa pesa zozote kuvunja mkataba ili wabadili viwalo.
Lile neno sport pesa limeshawachosha tu.Yanga ni kama mke tu wa manara hasikii la shehe wala muazini ( muadhin).
Hawa wanaojiita wafadhili ni ili mradi tu kuficha ficha mambo ila pesa zao wanazitoa kwenye wizi uliofanyika zamani.Kuna mihela mingi huko haina kazi.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app