Aragorn son of Arathorn
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 789
- 829
Nasikiliza wimbo wa Mandojo na Domokaya, unaitwa Dingi, huu wimbo unaonekana kama ni true story ila sijabahatika kusoma au kusikia sehemu yoyote wakithibitisha kuhusu hili.
Jamaa wanazungumzia maisha halisi ya baadhi ya familia za kipato cha kati, unakuta Mdingi anampunga ila ndani ya nyumba hakuna amani na hata watoto hawafaidi kipato cha Mdingi.
Baba unakuta ni fulu anasa;ananunulia vimada magari na kuwajengea nyumba, anazungusha round bar ila homu unakuta mambo si mambo.
Haya maisha nimekua nayaona mtaani ila siku hizi naona kama trend imepungua, watu wamekuwa responsible na familia zao( ni just observation inaweza ikawa au isiwe sahihi).
Kingine nilichokipenda kuhusu huu wimbo ni pale mwishoni Mandojo anamalizia kwa kusema bado anammiss Mshua pamoja na yote. Kiufupi huu wimbo ni elimu tosha.
Kwa faida ya ambao hawaufahamu nimeweka link ya youtube;mashairi nimekosa(mwenye lyrics zake anaweza kuweka hapa).