Ukweli ni upi?

tizo1

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
856
Reaction score
145
Habari za wakati wadau wa elimu.Naomba kuuliza JE,watakaofanya mtihani wa kidato cha sita mwaka 2012 watatumia silabasi za zamani au mpya?JE,Silabasi mpya inapatikana wapi?Naomba kama kuna mtu anayo anipe ya History ,Kiswahili na English.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…