Ukweli uko wapi?

AMOS JANUARY

Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
16
Reaction score
3
Mi cna iman kw mtazamo wng juu ya elimu ktk nch yng kw sbbu kam wizara zngn wanajal wanataaluma wao y wzr y elimu?
 
Kitu gani Umeandika hiki ? Hili sio jukwaa la kihuni, jitahidi uandike kitu ambacho kitaeleweka kwa wote wanaotumia lugha husika.
 
Mi cna iman kw mtazamo wng juu ya elimu ktk nch yng kw sbbu kam wizara zngn wanajal wanataaluma wao y wzr y elimu?

Nyoosha kwanza lugha yako katika maandishi ndo Uje tena, maana sijui ni nini hiki umeandika
 
Mi cna iman kw mtazamo wng juu ya elimu ktk nch yng kw sbbu kam wizara zngn wanajal wanataaluma wao y wzr y elimu?

Kwa huu uandishi wako wa kifacebook sidhani kama utapata majibu sahihi kutoka jamii forum kijiwe cha greater thinker rekebisha kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…