Ukweli Uliokuponza

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Katika maisha kuna mambo mengi sana unaweza kutana na Jambo fulani ambalo linahitaji ushahidi wako ili haki iweze kutendeka au jambo flani lililofichika liwezs kufichuliwa na wewe ndio Mtu pekee unaeujua ukweli huo. Wapo wengi ambao huuficha na kufa nao moyoni lakini wengine kwa Upendo wao husema ukweli wakidhani wanasaidia kumbe wanajiangamiza au kuumiza wengine..!!

Ukweli gani uliowahi kuusema au kuuficha ukakuponza???
 
Siku zote huwa nasema ukweli na sijawahi kujutia, kama matokeo ya ukweli wangu yatamuumiza mtu au mimi mwenyewe nahesabu kama gharama ya ukweli huo
Daah una moyo wa tofauti mkuu...!! Japo ukweli wanasema ni mchungu
 
Sometimes ukweli unaweza ukakubana kwenye kona kiasi kwamba uongo pekee ndio unaweza kukuweka huru, kumbuka Petro alivyomkana Yesu mara 3.
 
Asilimia 90 hua nasema ukweli huku nilipo na JF. Shida inakua Jf wanadhani nadanganya nikiwaambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…