Ukweli unaochukiwa kutokana na tamaa au maisha ya kujiziuka

Ukweli unaochukiwa kutokana na tamaa au maisha ya kujiziuka

big soap

Senior Member
Joined
Feb 22, 2020
Posts
197
Reaction score
270
Tupeane pole kwa mihangaiko na harakati za kimaisha wote me na ke.

1. Wanawake kuvaa nguo vupi au zenye kubana na kuonyesha maumbile. nje ya utamaduni, nje ya utamaduni.

2. Kutolegeza mashart ya kuoa au kuolewa, utasikia mahari million kumi "pumbavu" million mbili sijawai kuishika_

3. Kukumbatiana na kusogezeana vikojoleo alafu ni ndugu wa heshima_ waafrika tuna joto la mapenzi na nyege kali_ upuuzi sio wa kuufagilia.

4. Nguvu kazi ipo ya kutosha na ipo mjini kwa asilimia kubwa au bush. wanauza karanga, mayai nk. Tutasikia kwa bomba suala la maendeleo

5. Kufagilia mfumo wa elimu ambao unapoteza nguvu kazi na akili bunifu kwenye peni na karatasi. Shule au elimu bora vijana nguvu kazi lazima itumike kwenye kujenga vitu vinavyogusika.

6. kupiga sho off, ♂️ kivile na hauna sababu za msingi sana, Hajaoa kazi kuzichakacha tu papuchi.

7. ibadani na vimini, suruari za kubana kwa ke & me. Tujitaidi kuishi kulingana na sehemu.

8. utandawazi ni balaaaa sana, kazi bila dawa sawa na ugonjwa bila tiba___

9. ........
10. ........

etc .............
 
Sijaelewa uzi wako unahusu nini mkuu , kwa hapa umekurupuka ngoja waje kukupopoa
 
Back
Top Bottom