1. Mshahara wa walimu na askari magereza ndio mshahara pekee wa watumishi wa umma unaokutana na mshahara mwingine. Hii ni kwasababu wanajua wakifanya masihara tu wamekula tope.
2. Watumishi walioko kwenye taasisi zenye udambwidambwi (madili) mshahara wao unaisha ndani ya wiki moja tu hata kama wanalipwa pesa nyingi kiasi gani. Wanajua hata wakimaliza mshahara ndani ya siku 2 maisha lazima yaende.
3. Kuna watumishi wa umma wanavaa nguo safi kwenda kazini kumbe mioyoni mwao hawawazi kazi. Wanawaza madili tu.
Mbona Nyongeza hakuna mwaka huu?Tukipiga madili mtaani mnapiga kelele watoto hawafundishwi,ukimuweka ndugu kwenye kibiashara baba umepigwa,yani full stress hii dunua bila uchawi na ufisadi hutoboi