Ukweli usemwe: CHADEMA imeipiku CCM na Serikali yake kwa Propaganda.

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Kuna kila haja na lazima kwa CCM kujipanga upya katika idara yake ya Propaganda. Ni ama idara hiyo imefeli ama haipo kabisa kuweza ku-attack mabomu ya Chadema. Kama ni vita basi tunaweza kuifananisha Chadema na Israel na CCM kuwa Hamas. CCM imezidiwa mno. Yumkini bomu la tarehe 23/9/2024 ikaisambaratisha kabisa.

Mshauri wa Chadema katika Propaganda and Polical Science amefaulu mno na kama analipwa basi aongezewe malipo maana CCM sasa ina waya waya kama machela au mlevi. Hakijui kifanye nini zaidi ya kutumia dola kukinusuru.

Chadema wametumia akili ya juu sana kuleta taharuki nchini na kusambaza drama zao kiasi cha umma kuamini kwamba kinapigania haki za watu kuishi na uhuru. Mbowe ni shetani nchi hii bila wengi kujua na tusipokuwa makini ataitumbukiza nchi hii shimoni.

Ni Chadema hii hii kwa kinywa cha KM wake mstaafu Dk. Wilbroad Slaa kinakiri kumteka Joseph Yona, kumtesa na kisha kwenda kumtupa Ununio. Sijui kwa nini wanapenda Ununio.

Ni Chadema hii hii ilimteka na kumuua mdogo wake Mwita Waitara (Chacha Werema) katika Uchaguzi Mdogo wa Biaramulo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge Mwl. Fares Kabuye. Wakamtupa darajani zoezi lilisimamiwa na mlinzi wa Mbowe, John Malya mwenye kesi ya "kichwa" huko Kilimanjaro. Mbowe anaamini sana kwenye damu ndiko kwenye siasa za huruma ya umma.

Naliomba jeshi la polisi kuwa makini mno katika uchunguzi wake. Chadema nao wametekana sana wala Polisi pekee isitupiwe lawama. Tutayaweka wazi hapa ya kale na ya sasa. Chadema imekosa mwelekeo thabiti baada ya kuruhusiwa kufanya siasa na tathmini yao ikaonesha zero. Sasa ni kuteka, kutesa, kuua, kutupa na kutangazia dunia kunyanyasika. Julie Chadema pekee ni upinzani dhidi ya CCM? Sio kweli!

Kwa sasa Mbowe anaandaa wafu Sept 23 ili apate cha kuwaambia wakubwa kwamba anapnewa. Kifupi Mbowe na genge Lake lime limepanga kuchafua Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024/25.

Rais Samia mwite Mbowe na kundi lake kupitia viongozi wa dini kwa mwamvuli wa "mazungumzo" mpe bahasha ya kaki yaishe. Asali imeisha asituulie watoto wetu wanaosubiri mema yajayo unayoyajenga. Maandamano hayawezi kufufua wafu au kufungua milango ya magereza. Msituondolee amani.

CCM na nyie simameni kidete. Ondoeni woga wa kushindwa kujibu mapigo kwa hoja. UVCCM mko wapi?
 
Sanduku la kura ndio huamua mshindi nani sio propaganda
 
CCM ina dhamana nchi, ina wajibu kwa Taifa na ina majukumu ya kipekee muhimu na mazito mno ya kuwatumikia waTanzania na kuwaletea wananchi maendeleo..

huo muda wa propaganda itautoa wapi?

by the way hoyo propaganda si ndio ushirikina gentleman ama?🐒
 
Mhhhhhh ila CCM
 
Attachments

  • 20240913_201223.jpg
    20240913_201223.jpg
    217 KB · Views: 2
Propaganda gani zaidi ya kutengeneza na kulazimisha migogoro na polisi?

Wakipata Mtu smart Polisi kuepusha migogoro nao pale hamna chama
 
CCM imejaa wajinga wengi kama huyu mbwa

Kwa hizi takataka za mleta mada, ni aheri hata ya .bwa ana akili, labda kama unamaanisha ni mbwa koko.

Punguani wa kiwamgo cha mleta mada, sijui CCM huwa inawapata wapi!! Maana ni ngumu sana kumpata asiye na na akili kiasi hiki, halafu awe na uwezo wa kuandika.

Nchimbi atakuwa anajisikitikia kwa aina ya watu wanaojishikamanisha na CCM.
 
Kuna kila haja na lazima kwa CCM kujipanga upya katika idara yake ya Propaganda. Ni ama idara hiyo imefeli ama haipo kabisa kuweza ku-attack mabomu ya Chadema. Kama ni vita basi tunaweza kuifananisha Chadema na Israel na CCM kuwa Hamas. CCM imezidiwa mno. Yumkini bomu la tarehe 23/9/2024 ikaisambaratisha kabisa.

Mshauri wa Chadema katika Propaganda and Polical Science amefaulu mno na kama analipwa basi aongezewe malipo maana CCM sasa ina waya waya kama machela au mlevi. Hakijui kifanye nini zaidi ya kutumia dola kukinusuru.

Chadema wametumia akili ya juu sana kuleta taharuki nchini na kusambaza drama zao kiasi cha umma kuamini kwamba kinapigania haki za watu kuishi na uhuru. Mbowe ni shetani nchi hii bila wengi kujua na tusipokuwa makini ataitumbukiza nchi hii shimoni.

Ni Chadema hii hii kwa kinywa cha KM wake mstaafu Dk. Wilbroad Slaa kinakiri kumteka Joseph Yona, kumtesa na kisha kwenda kumtupa Ununio. Sijui kwa nini wanapenda Ununio.

Ni Chadema hii hii ilimteka na kumuua mdogo wake Mwita Waitara (Chacha Werema) katika Uchaguzi Mdogo wa Biaramulo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge Mwl. Fares Kabuye. Wakamtupa darajani zoezi lilisimamiwa na mlinzi wa Mbowe, John Malya mwenye kesi ya "kichwa" huko Kilimanjaro. Mbowe anaamini sana kwenye damu ndiko kwenye siasa za huruma ya umma.

Naliomba jeshi la polisi kuwa makini mno katika uchunguzi wake. Chadema nao wametekana sana wala Polisi pekee isitupiwe lawama. Tutayaweka wazi hapa ya kale na ya sasa. Chadema imekosa mwelekeo thabiti baada ya kuruhusiwa kufanya siasa na tathmini yao ikaonesha zero. Sasa ni kuteka, kutesa, kuua, kutupa na kutangazia dunia kunyanyasika. Julie Chadema pekee ni upinzani dhidi ya CCM? Sio kweli!

Kwa sasa Mbowe anaandaa wafu Sept 23 ili apate cha kuwaambia wakubwa kwamba anapnewa. Kifupi Mbowe na genge Lake lime limepanga kuchafua Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024/25.

Rais Samia mwite Mbowe na kundi lake kupitia viongozi wa dini kwa mwamvuli wa "mazungumzo" mpe bahasha ya kaki yaishe. Asali imeisha asituulie watoto wetu wanaosubiri mema yajayo unayoyajenga. Maandamano hayawezi kufufua wafu au kufungua milango ya magereza. Msituondolee amani.

CCM na nyie simameni kidete. Ondoeni woga wa kushindwa kujibu mapigo kwa hoja. UVCCM mko wapi?
Unafaa kuwa mkuu wa kitengo cha propaganda cha CCM
 
Ni kweli Kwa propaganda wamefaulu.
 
Kuna siasa lakini pia kuna kufa; ila kuleta mzaha kwenye uhai siyo jambo zuri!
 
Hivi inakuwaje mtu na akili zake anakuwa shabiki wa CCM?! Ndio maana nchi za Afrika zinakwama kimaendeleo kwani wasomi wake wana ujinga usiotoka. Ukweli ni kwamba CCM inapaswa kupumzishwa lakini utakuta mijitu mizima inatetea CCM huku wakijua wazi kuwa CCM inatukwamisha!
 
Sanduku la kura ndio huamua mshindi nani sio propaganda
Kwa huu uchaguzi ambao ccm ndio refa, mshika kibendera, kamisaa na body ya michezo, inatakiwa kuwa mwendawazimu kuamini mazingira hayo kuna uchaguzi wa kweli.
 
Ccm inaishi kwasababu ya IGP Wambura na polisi wenzake, vinginevyo ingekuwa kabatini muda huu.
 
Sasa hivi CCM inawategemea zaidi wauaji.
 
Back
Top Bottom