USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Baada KDF kushindwa Congo na wacongo wakaamua kuwaondoa sasa jeshi la polisi la Kenya limeishindwa Haiti kabisa, mitaa haikaliki, shule zinafungwa, hospitali zimejaa wahanga wa vurugu na kuzidiwa idadi.
Leo baraza la usalama la umoja wa mataifa linajadili kutafuta askari wengine kutoka nchi nyingine kwenda Haiti, polisi ya kenya ni dhaifu sana, halina nidhamu na linashindwa na wakola tu.
USSR
Leo baraza la usalama la umoja wa mataifa linajadili kutafuta askari wengine kutoka nchi nyingine kwenda Haiti, polisi ya kenya ni dhaifu sana, halina nidhamu na linashindwa na wakola tu.
USSR