Hao ni polisi, si jeshi. Na kule wana sheria zinazowafunga mikono, wanashindwa ku operate at full max.Baada KDF kushindwa Congo na wacongo wakaamua kuwaondoa sasa jeshi la polisi la kenya limeishindwa Haiti kabisa ,mitaa haikaliki, shule zinafungwa , hospitali zimejaa wahanga wa vurugu na kuzidiwa idadi.
Leo baraza la usalama la umoja wa mataifa linajadili kutafuta askari wengine kutoka nchi nyingine kwenda Haiti , polisi ya kenya ni dhaifu sana ,halina nidhamu na linashindwa na wakola tu
USSR
Jeshi la Kenya walikimbia CongoHao ni polisi, si jeshi. Na kule wana sheria zinazowafunga mikono, wanashindwa ku operate at full max.
Jeshi in other side wana rules zingine unlike police
Congo is different story, speaking of haitiJeshi la Kenya walikimbia Congo
Hata Haiti watakimbiaCongo is different story, speaking of haiti
Well wapelekwe kwanza, and rules za kufanya kazi huko zilegezweHata Haiti watakimbia
kwani Polisi si jeshi?Hao ni polisi, si jeshi. Na kule wana sheria zinazowafunga mikono, wanashindwa ku operate at full max.
Jeshi in other side wana rules zingine unlike police