Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Yani wengi wao wanaenda na matukuo huwezi kujua unique waandishi professional. Mfano hivi vi online tv ndio takataka kabisa yaani kama wanakusanyana mtu mmoja akiojiwa vi-mic vimejazana utadhani wapo sokoni.
Sijaona waandishi ambao wamejitenga na taaluma zao yani siasa yumo, Ngorongoro yumo, michezo yumo kila jambo.
Tatizo ni nini?
Sijaona waandishi ambao wamejitenga na taaluma zao yani siasa yumo, Ngorongoro yumo, michezo yumo kila jambo.
Tatizo ni nini?