Ukweli usemwe, Wazinzabar wanaipenda Nchi yao kama Mama Yao, Tanganyika hamna kitu

Ukweli usemwe, Wazinzabar wanaipenda Nchi yao kama Mama Yao, Tanganyika hamna kitu

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
In a very serious note, Wazenji Wana uchungu na Nchi/kisiwa Chao, wanajua Haki zao na Wanajua kujenga hoja na kutafuta fursa kwa ajili yao na Ndugu zako na kesho Yao.

To be honest, Zanzibar wangepewa TANGANYIKA Leo hii, huu upumbavu unapendelea I am sure usingekuepo. Sio Vibaya kujipenda na kuipenda Nchi yako. Wale Jamaa hata IQ Yao iko juu kuliko hawa Watanganyika.

Ukweli usemwe, TANGANYIKA ni nanihii Sana Sana, tuamke
 
Ni kweli. Ndiyo maana hata bibi yetu anauza rasilimali za Tanganyika tu, lkn hajauza hata kipande cha nchi yake (Zanzibar).
 
Ni kweli. Ndiyo maana hata bibi yetu anauza rasilimali za Tanganyika tu, lkn hajauza hata kipande cha nchi yake (Zanzibar).
Na KAMWE hawezi kuuza hata theluthi kule, zaidi ya kupangisha tena kwa masharti magumu Hadi ya kutokuuza pombe
 
Back
Top Bottom