Kesho ndo utaelewa kadri gape linavopungua Simba wanazidi kua Bora na hizi game zimepangwa kimkakati mno Yanga atakua anapoteza Simba anashindakama yanga sio bora unategemea simba inaweza kuwa ktk hali ngumu kiasi gani!!!
tunawakumbusha mpira mchezo wa wazi
Simba akishinda ki mkakati na Yanga atamfunga Simba.Kesho ndo utaelewa kadri gape linavopungua Simba wanazidi kua Bora na hizi game zimepangwa kimkakati mno Yanga atakua anapoteza Simba anashinda
Ni mara nyingi hutokea, ligi inaposimama kuna timu wachezaji wake huanza kushuka hali ya fitness. Kilichotokea leo kimetokana na mambo mawiliKuanzia Kule mapinduzi Zanzibar Yanga walicheza soka la hovyo Sana wakasingizia kina Pacome hawapo lakini Leo wote walikuepo Hadi forward jipya la mchongo... Ila NI upuuuuuzi mtupu...
Naitabiria Simba msimu mzuri na wanachukua makombe yote muhimu Kuanzia FA Hadi la Ligi kama walivobeba Ngao ya jamii kibabe....
Hata Huko kimataifa ni Tia maji Tia maji Tu hamna cha ajabu Simba ataenda robo Yanga watarudi kujipanga
Kwalua kila mechi atakua Tatu mwalongo mtashinda zoteKesho ndo utaelewa kadri gape linavopungua Simba wanazidi kua Bora na hizi game zimepangwa kimkakati mno Yanga atakua anapoteza Simba anashinda
Naungana na wewe, moja ya kosa kwa Yanga ni kukimbia kombe la Mapinduzi halafu wakawaacha wakina Nzengeli wanazunguka na kula raha. Timu haina fitness, hii Yanga yetu hizi mechi za mwanzo tutakimbiana. Simba wana advantage ya kupunguza gepu na kuongoza kabisa. Bahati tu ni kwamba Yanga anarejea Dar.Ni mara nyingi hutokea, ligi inaposimama kuna timu wachezaji wake huanza kushuka hali ya fitness. Kilichotokea leo kimetokana na mambo mawili
Cha kwanza ni kocha kudharau mechi, Mzize, Gift na Faridi Mussa ni wachezaji wanaojitafuta Yanga. Hawana madhara yeyote kwa timu pinzani na Metacha nae ni kipa mwenye mapungufu mengi sana ikiwemo kudaka, kuanzisha mashambulizi na kuwapanga mabeki na kuongea nao mara kwa mara.
Shda ya Pili ni wachezaji wengi waliotumika kama first eleven hawakuwa fit kutokana na kukaa muda mrefu bila kucheza mechi ya kimashindano. Gamondi alipaswa kutumia mechi ya juzi Azam federation kuwaweka sawa wachezaji wake wa kikosi cha kwanza.
Simba watakuwa na advantage kubwa sana kwasababu wachezaji wake wote watakuwa wako mchezoni kwavile wametumika katika Mapinduzi na Azam federation hivyo wako fit.
TuliaKuanzia Kule mapinduzi Zanzibar Yanga walicheza soka la hovyo Sana wakasingizia kina Pacome hawapo lakini Leo wote walikuepo Hadi forward jipya la mchongo... Ila NI upuuuuuzi mtupu...
Naitabiria Simba msimu mzuri na wanachukua makombe yote muhimu Kuanzia FA Hadi la Ligi kama walivobeba Ngao ya jamii kibabe....
Hata Huko kimataifa ni Tia maji Tia maji Tu hamna cha ajabu Simba ataenda robo Yanga watarudi kujipanga
Visingizio fcNi mara nyingi hutokea, ligi inaposimama kuna timu wachezaji wake huanza kushuka hali ya fitness. Kilichotokea leo kimetokana na mambo mawili
Cha kwanza ni kocha kudharau mechi, Mzize, Gift na Faridi Mussa ni wachezaji wanaojitafuta Yanga. Hawana madhara yeyote kwa timu pinzani na Metacha nae ni kipa mwenye mapungufu mengi sana ikiwemo kudaka, kuanzisha mashambulizi na kuwapanga mabeki na kuongea nao mara kwa mara.
Shda ya Pili ni wachezaji wengi waliotumika kama first eleven hawakuwa fit kutokana na kukaa muda mrefu bila kucheza mechi ya kimashindano. Gamondi alipaswa kutumia mechi ya juzi Azam federation kuwaweka sawa wachezaji wake wa kikosi cha kwanza.
Simba watakuwa na advantage kubwa sana kwasababu wachezaji wake wote watakuwa wako mchezoni kwavile wametumika katika Mapinduzi na Azam federation hivyo wako fit.
Hawa wachezaji wamekula sana bata, ule mchaka mchaka wa Gamondi kama ulivyozoeleka leo hauoni kabisa. Kifupi timu imerudi zero inatakiwa ibustiwe hadi ifike kama ilivyokuwa je muda utatusubiria? Halafu kuna mechi back to backNaungana na wewe, moja ya kosa kwa Yanga ni kukimbia kombe la Mapinduzi halafu wakawaacha wakina Nzengeli wanazunguka na kula raha. Timu haina fitness, hii Yanga yetu hizi mechi za mwanzo tutakimbiana. Simba wana advantage ya kupunguza gepu na kuongoza kabisa. Bahati tu ni kwamba Yanga anarejea Dar.
Tuta kudhihirishia ubora wetu,champ.leage na Nbc siku sii nyiKuanzia Kule mapinduzi Zanzibar Yanga walicheza soka la hovyo Sana wakasingizia kina Pacome hawapo lakini Leo wote walikuepo Hadi forward jipya la mchongo... Ila NI upuuuuuzi mtupu...
Naitabiria Simba msimu mzuri na wanachukua makombe yote muhimu Kuanzia FA Hadi la Ligi kama walivobeba Ngao ya jamii kibabe....
Hata Huko kimataifa ni Tia maji Tia maji Tu hamna cha ajabu Simba ataenda robo Yanga watarudi kujipanga
Kwahiyo kosa lipo Kwa Gamondi kudharau game au tukubaliane kua Yanga ina wachezaji wachache wenye viwango ambao wasipocheza hakuna tena ushindi?Ni mara nyingi hutokea, ligi inaposimama kuna timu wachezaji wake huanza kushuka hali ya fitness. Kilichotokea leo kimetokana na mambo mawili